KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Bendera fuata upepo juzi tu hapa mlikuwa kuwakashifu wanaomshauri rais kuhusu barakoaAmeongea vizuri mno Mh. Rais hongera sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bendera fuata upepo juzi tu hapa mlikuwa kuwakashifu wanaomshauri rais kuhusu barakoaAmeongea vizuri mno Mh. Rais hongera sana
Afya yako ni wajibu wako. Anza kwanza wewe kutelekeza wajibu wako..unataka rais aje akuvalishe barakoa na unaijua corona vizuri. Acha visingizioUnayajua majukumu ya Rais?? isome katiba vyema hapo ndipo kuna msingi wa malalamiko, wananchi hawakurupuki.
Kwahiyo mkuu wewe kuanza kuchukua tahadhari mpaka Rais aongee?Tiyari ameanza kukubali taratibu, nilivyokuwa nasikia namna anavyozungumza Majaliwa kwenye Msiba wa Balozi kijazi nikajua kabisa anasafisha njia kwa Jiwe kukubali Corona ipo nchini na watu wanapaswa kuchukua taadhari
Mimi nashauri angehutubia Taifa moja kwa moja kuhusu hili suala linalogharimu maisha ya watu na siyo kujificha makanisani kutoa matamko ya chini kwa chini kwa Jambo serious kama hili
Wewe ni mjinga wa kiwango cha kumzidi shetani kabisa. Serikali kama serikali ule ni ufalme uliosimikwa na Mungu, mambo yote unayoyaona usije dhani yapo kwa bahati mbaya, ni calculated. Uzuri rais wetu anahofu ya Mungu na anamuamni Mungu ndiye mponyaji wa taifa, so ujinga wenu wala si kitu kwake.
Kila mmoja awajibike kwa upande wake, Kiongozi ana nafasi yake, Raia pia ana wahibu wakeKwahiyo mkuu wewe kuanza kuchukua tahadhari mpaka Rais aongee?
Au kuamini kuwa Corona ipo mpaka Rais aseme?
Kwa Hali kweli ni halali elimu iendelee kutolewa bure.
Uchumi gani ambao Tanzania iko nao hadi mataifa makubwa yafanye nayo vita? South Afrika, Misri, Nigeria wao watasemaje kama Tanzania itasema ni vita? Tumia hata ka akili kadogo uliko nako kufikiri.Uko nyuma Sana mkuu, Mimi Naamini pia kuwa Corona ni vita ya kiuchumi hasa Kwa mataifa makubwa,
Kwa kutuambia kuwa siku moja Ina masaa 48 au namna gani? Wananchi wanataka vipimo,chanjo na tiba sahihi pamoja na elimu ya afya ya jinsi ya kujikinga kwa kutokukusanyika na siyo habari ya maombi!Ameongea vizuri mno Mh. Rais hongera sana
Aibu kubwa sana!! Tena sana! Tunaishi maisha ya sayansi,kama ni hivo afunge hata mahospitali na dawa wasitumie! Kama hataki cha mzungu arundi porini kuwinda na kuishi maisha ya kale.Ameyasema hayo baada ya kuona corona imepiga hodi malango ya ikulu. Rejea post yangu niliyoitoa hivi karibuni kuhusu wagonjwa wa corona kiwandani kwangu hapa urafiki. Nilisema nikiwa kama naibu meneja mkuu ni lazima niwe mkweli maana mficha maradhi kifo humuumbua. Hii ni aibu kwa magufuli na serikali yake.
anatafuta uungwaji mkono na kanisa, kanisa hasa katoliki wamegoma.Hivi huko kanisani ndio sehemu rasmi ya ku address janga kubwa na la kitaifa kama hili.
Alishindwa nini kufanya hotuba kama zile walizokua wanafanya watangulizi wake
Kipindi kile ukisikia rais anahutubia taifa basi station almost zote alikua anasikika live .
Vita ya tembo nyasi ndio huumiaUchumi gani ambao Tanzania iko nao hadi mataifa makubwa yafanye nayo vita? South Afrika, Misri, Nigeria wao watasemaje kama Tanzania itasema ni vita? Tumia hata ka akili kadogo uliko nako kufikiri.
Na ww kilaza,peleka ujinga wako hukooHaya maneno uliyotumia yanaweza kukugharimu. Futa hii post tafadhali.
si alisema watu wazaliane. sasa anataka kuwapunguza tena how?Huyu mzee ana mpango wa kupunguza idadi ya wananchi siyo bure
i thought usomi wake ungemsaidia lakin 0.Hii speech ya leo imeonyesha ni jinsi gani amelishwa conspiracy theories....
Ameshajua wabongo ni fuata upepo. halad si watu wakuingia deep na kufanya research.Hii hotuba Rais ameitoa makusudi kumjibu Askofu mkuu yuda Thadeus ruwaichi. Hii siyo sawa kabisaa kufanywa na mkuu wa nchi. Halafu Rais magufuli huwa anatuonaje!?
Kwani wapi amesema havina maana?Hii paragraph imehitimisha nia ya serekali katika kupambana na janga la corona ni ipi.
Imagine social distancing pamoja na kuvaa barakoa vimepondwa na kuonekana kuwa havina maana na maombi yamewekewa msisitizo!View attachment 1708025