Mbwa mkubwa wewe. Naona kunyimwa posho kumekuchanganya. UmechanganyikiwaDalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Kwa bahati mbaya huwa mdomo wangu hauna nguvu ya kutukana
Acha chuki za kijinga wewe, mamako ndio maneno gani tena!!.Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Mahiga nae mmemnyima posho au kiuzembeuzembe amedanja kwa kiu ya kulipwa posho?Mbwa mkubwa wewe. Naona kunyimwa posho kumekuchanganya. Umechanganyikiwa
Labda bangi zinahusika mkuu.Corona ukipona unaweza kuugua tena
Hivi Chadema Kwanini Wengi mpo hamjitambui?
Kenge hasikii mpaka kipigo kimtoe damu masikioni!!Acha chuki za kijinga wewe, mamako ndio maneno gani tena!!.
Elewa ujumbe mzima wa mtu sio unaokota vipande vipande kwa nia za kujenga hoja zako.
Elewa mantiki nzima ya hotuba ya mtu, au shuleni mkuu Mshumaa hukusoma maswala ya tamadhali za semi?.
Chunga sana nafasi ya huyo Kenge inaweza kukuhusu wewe binafsi na maisha yako.Kenge hasikii mpaka kipigo kimtoe damu masikioni!!
Jamaa kaua sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],hapo mwisho dawa za kumtibu mamako au?Hahahaaaaaaa,JF bhana!
Jamani mamako, babako, dadako siyo matusi tulifundishwa ni namna ya kuunda neno kwa kudodosha. Mamako= mama yakoAcha chuki za kijinga wewe, mamako ndio maneno gani tena!!.
Elewa ujumbe mzima wa mtu sio unaokota vipande vipande kwa nia za kujenga hoja zako.
Elewa mantiki nzima ya hotuba ya mtu, au shuleni mkuu Mshumaa hukusoma maswala ya tamadhali za semi?.
Mimi nina mashaka na yeye pia,Anaonekana ametoka kupona,ila kikohozi bado,amekohoa si chini ya mara5 hivi,alijifanyia Self isolation..
Ni tusi wakati mwingine, inategemea linatumika katika mazingira gani.Jamani mamako, babako, dadako siyo matusi tulifundishwa ni namna ya kuunda neno kwa kudodosha. Mamako= mama yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuunga mkono...Najisikia amani na raha kubwa kuwa na Rais makini kama huyu,Mungu mbariki JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Nayamani watu wafe hata 1000 kwa siku ndo mtajua kuwa mnasifu ujinga kwa kutafuta vyeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Si unatype tu mkuu, hautumii mdomo.Kwa bahati mbaya huwa mdomo wangu hauna nguvu ya kutukana
Acha kutisha watu karumekenge weweChunga sana nafasi ya huyo Kenge inaweza kukuhusu wewe binafsi na maisha yako.
Ifike mapema asee akagombee ubunge, inaonyesha amepamiss sana nyumbani.Naona km October inachelewa ili tuwafutilie mbali