Rais Magufuli: Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo? Hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa?

Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Mbwa mkubwa wewe. Naona kunyimwa posho kumekuchanganya. Umechanganyikiwa
 
Acha chuki za kijinga wewe, mamako ndio maneno gani tena!!.

Elewa ujumbe mzima wa mtu sio unaokota vipande vipande kwa nia za kujenga hoja zako.

Elewa mantiki nzima ya hotuba ya mtu, au shuleni mkuu Mshumaa hukusoma maswala ya tamadhali za semi?.
 
Mahiga nae mmemnyima posho au kiuzembeuzembe amedanja kwa kiu ya kulipwa posho?
 
Acha chuki za kijinga wewe, mamako ndio maneno gani tena!!.

Elewa ujumbe mzima wa mtu sio unaokota vipande vipande kwa nia za kujenga hoja zako.

Elewa mantiki nzima ya hotuba ya mtu, au shuleni mkuu Mshumaa hukusoma maswala ya tamadhali za semi?.
Kenge hasikii mpaka kipigo kimtoe damu masikioni!!
 
Kuna mwana Hip Hop mmoja anaitwa Rakim aliwahi kuimba “it ain’t where you’re from, it’s where you’re at”.

Tuache utetezi usio na mantiki. Haileti picha nzuri kwa Rais wa nchi kuacha Ofisi zake kuu mbili na kwenda kufanyia kazi nyumbani kwake kwa zaidi ya mwezi tena katikati ya sintofahamu kubwa ambayo taifa halijawahi kukumbana nalo kwa miaka 40.

Na msituambie pale ni Ikulu ndogo, au eti Rais anaweza kufanyia kazi mahali popote. naomba sana tuheshimiane tafadhali.
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28],hapo mwisho dawa za kumtibu mamako au?Hahahaaaaaaa,JF bhana!
Jamaa kaua sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha chuki za kijinga wewe, mamako ndio maneno gani tena!!.

Elewa ujumbe mzima wa mtu sio unaokota vipande vipande kwa nia za kujenga hoja zako.

Elewa mantiki nzima ya hotuba ya mtu, au shuleni mkuu Mshumaa hukusoma maswala ya tamadhali za semi?.
Jamani mamako, babako, dadako siyo matusi tulifundishwa ni namna ya kuunda neno kwa kudodosha. Mamako= mama yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?

Magufuli is a psychopath....OVER

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom