Hapo kasema maneno murua Kabisa, "Mtu kwao".
Hongera kwa kuchukua tahadhari hizo. Waelimushe na waoendwa wako wengine wasio na uwezo kama wa kwako. Kwa pamoja tutavuka salama.Mkuu almost nina all bidhaa muhimu za kula for two to three months ninazo home na pale ninapolazimika kutoka mask na sanitizer lazima iwemo kwenye mkweche wangu,,so bidhaa ninayonunua Kama IPO kwenye kivungashio lazima niipige sanitizer,Jumamosi nilikuwa naenda Moro, traffic police akanikamata kwa speed,kabla ya kugusa leseni yangu ilibidi nimpige sanitizer kwanza
Ili iweje?Tumpige chini tu huyu October jmn
🙄🙄Ili iweje?
Tumpige chini tu huyu October jmn
Mtaji wa Jpm Ni ma illiterate.Najisikia amani na raha kubwa kuwa na Rais makini kama huyu,Mungu mbariki JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kuambiwa changanya na zako!