Ramark
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,989
- 1,447
Ofisi ya rais, ikulu ipo ileile ya nyerere..Na majuzi amejenga ikulu mpya Chamwino Dodoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofisi ya rais, ikulu ipo ileile ya nyerere..Na majuzi amejenga ikulu mpya Chamwino Dodoma.
Hao 1000 tutajuaje wakati hawatangazwi?Nayamani watu wafe hata 1000 kwa siku ndo mtajua kuwa mnasifu ujinga kwa kutafuta vyeo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa maana kukaa Ikulu sijui Dar Es Salaam au Dodoma ni anasa sana.Sioni aje ya Mh.Rais kutimiza majukum yake nje na nyumbani kwake ....kwenda Ikulu ni anasa kubwa.Rais Magufuli si mtu wa anasa tumpongeze kwa hili
ww fala unajua ikulu imewekwa kwa sababu gani pale si nyunbani kwa rais ni ofisini je unaweza kukaa nje ya ofisi mdamrefu ivyo ??Acha kufikiria karibu kama ikulu ingekuwa haina maana zisingekuepo wangeongoza toka nyumbani kwaanzia nyerere angeongoza akiwa butiamaSio kwamba napingana na hoja za watu wengine, ambao wamekuwa wakitoa shinikizo la Rais kutoka Chato na kurudi Ikulu ya Dar es salaam au Dodoma. Ila najaribu kujiuliza haya maswali;
i) Je, utendaji wa Rais unapimwa kwa mambo anayofanya au unapimwa kwa mahali alipo?
ii) Je, Rais akiwa tu Chato au sehemu ingine yoyote Tanzania ambapo hakuna Ikulu, atakuwa anakosa moja kwa moja nguvu ya kuwa Rais?
iii) Kuna umuhimu gani haswa wa kuwa na shinikizo la kutaka Rais atoke Chato na aje ikulu?
Mi nahisi vitu vingine hivi ni kufuata tu mkumbo wa nani anasema kitu gani, iihali kuna wana harakati wanasema kwamba Rais atoke Chato aje ikulu, basi imekuwa kama hoja ya kujadiliwa, wakati ukiangalia kwa jicho la tatu, hakuna mantiki haswa nyuma ya hili jambo.
Kwangu mimi kwa kweli, sioni kama kungekuwa na tofauti yoyote kwenye hili janga la Corona hata kama Magufuli angekuwa huko ikulu watu wanapotaka awepo. Magufuli ni mtu yule yule akiwa Dodoma, Dar, Chato na popote pale.
Yaani watu wanavolalamika Rais arudi Ikulu, utasema kuna chochote kitachobadilika.
Wote walioapishiwa Chato ...wameapishwa vichochoroni, kiapo chao sio Rasmi ......kama kulikuwa na ulazima wa kuapisha akiwa mafichoni , angeenda kwenye ikulu ndogo ,Geita .Hivi kwani huko Chato anafanya nini? Kwamba huko ndo ilipo Ikulu, yupo kwa ziara ya kikazi au yupo yupo tu?
Najisikia amani na raha kubwa kuwa na Rais makini kama huyu,Mungu mbariki JPM
Sent using Jamii Forums mobile app
hilo neno ktk sentensi ya mwisho sio sahihi kuambiwa kiongozi wa nchi mkuuDalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Hivi kila mtu akifanyia kazi nyumbani kwake itakuwa na impact gani ?Sio kwamba napingana na hoja za watu wengine, ambao wamekuwa wakitoa shinikizo la Rais kutoka Chato na kurudi Ikulu ya Dar es salaam au Dodoma. Ila najaribu kujiuliza haya maswali;
i) Je, utendaji wa Rais unapimwa kwa mambo anayofanya au unapimwa kwa mahali alipo?
ii) Je, Rais akiwa tu Chato au sehemu ingine yoyote Tanzania ambapo hakuna Ikulu, atakuwa anakosa moja kwa moja nguvu ya kuwa Rais?
iii) Kuna umuhimu gani haswa wa kuwa na shinikizo la kutaka Rais atoke Chato na aje ikulu?
Mi nahisi vitu vingine hivi ni kufuata tu mkumbo wa nani anasema kitu gani, iihali kuna wana harakati wanasema kwamba Rais atoke Chato aje ikulu, basi imekuwa kama hoja ya kujadiliwa, wakati ukiangalia kwa jicho la tatu, hakuna mantiki haswa nyuma ya hili jambo.
Kwangu mimi kwa kweli, sioni kama kungekuwa na tofauti yoyote kwenye hili janga la Corona hata kama Magufuli angekuwa huko ikulu watu wanapotaka awepo. Magufuli ni mtu yule yule akiwa Dodoma, Dar, Chato na popote pale.
Yaani watu wanavolalamika Rais arudi Ikulu, utasema kuna chochote kitachobadilika.
“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM
“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM
Duuuu! Hiyo kauli ya mwisho hapoDalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Ndio mnachojivunia hicho
Ofisi ya Reis wa JMT ipo Magogoni Dar na Chamwino Dodoma asijitoe ufahamu.Aseme tu ,I am working from home“Wengine wanasema nipo Chato, kwani waliambiwa Chato sitakiwi kuwepo?, hapa si ndio nilipozaliwa na hata nikifa nitazikwa hapa kuna ubaya gani nikiwa Chato? , nikienda Moshi watasema nipo Moshi nimekimbia sijui wapi!, tuache siasa za ajabu” -JPM
“Wengine wako DSM wanasema Watu wasiende Bungeni, na nimeagiza wasilipwe posho maana utalipwa kwa kazi uliyofanya, kuna mambo ya ajabu yanafanyika, sina imani na Mkuu wa Mabaara ya Taifa maana haiwezekani tupeleke sampuli za papai zioneshe zina corona” -JPM
Ametoroka kazini.you wount work from your sebule bila idhini ya mwajiri wako Anatukosea sana adabu huyo mtu wakoRais Magufuli si mtu wa anasa tumpongeze kwa hili
Na ofisi amekimbia Sasa anatetea kufanyia kazi za nchi sebureni kwakeDalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
Mkuu bila kuwa na phD ya ujinga na upumbavu ni ngumu kumuuelewa Magu.wanaccm wanamuelewa vizuri sana ndo maana unaona akina Bia Yetu wanajivunia kuwa naeNa wabunge wa Chadema wameamua kwenda kwao mbona mnawanyima posho
moja awe muwazi aseme, he is working from home na atoe sababu why he's working from home.mbili mazingira ya ofisini ni more effective than working from home,ndo maana kila mtu anaenda kuchapa kazi ofisini kwake and not sebuleni.Tatu Kama mazingira ya Dar na Dodoma ni hatarishi aseme na siyo yeye ajifungie harafu asukumie wengine ndo wakafeSio kwamba napingana na hoja za watu wengine, ambao wamekuwa wakitoa shinikizo la Rais kutoka Chato na kurudi Ikulu ya Dar es salaam au Dodoma. Ila najaribu kujiuliza haya maswali;
i) Je, utendaji wa Rais unapimwa kwa mambo anayofanya au unapimwa kwa mahali alipo?
ii) Je, Rais akiwa tu Chato au sehemu ingine yoyote Tanzania ambapo hakuna Ikulu, atakuwa anakosa moja kwa moja nguvu ya kuwa Rais?
iii) Kuna umuhimu gani haswa wa kuwa na shinikizo la kutaka Rais atoke Chato na aje ikulu?
Mi nahisi vitu vingine hivi ni kufuata tu mkumbo wa nani anasema kitu gani, iihali kuna wana harakati wanasema kwamba Rais atoke Chato aje ikulu, basi imekuwa kama hoja ya kujadiliwa, wakati ukiangalia kwa jicho la tatu, hakuna mantiki haswa nyuma ya hili jambo.
Kwangu mimi kwa kweli, sioni kama kungekuwa na tofauti yoyote kwenye hili janga la Corona hata kama Magufuli angekuwa huko ikulu watu wanapotaka awepo. Magufuli ni mtu yule yule akiwa Dodoma, Dar, Chato na popote pale.
Yaani watu wanavolalamika Rais arudi Ikulu, utasema kuna chochote kitachobadilika.
Mkuu actions speak thousands of words.Chadema wameamua kufanya kile rais anachofanya kwa matendo na si kwa mdomo.Sasa wewe Kama unataka kufata maneno yake fata sisi tutawafukia tu maana hatutakuwa na namna nyingineWanaotaka Rais atoke Chato ni hao wanaoagizana kujifungia ndani. Imekula kwao
Jiwe anamuelekeza spika asiwalipe posho wabunge. Yeye ni nani? Je umekubali sasa kuwa huu mhimili sio huru?Corona ukipona unaweza kuugua tena
Hivi Chadema Kwanini Wengi mpo hamjitambui?