HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Polisi ni kuifumua yote iundwe upya, kwa sheria na Miongozo mipyaaa. Hata ukimtoa IGP haisaidii. Polisi waaambiwe ni kosa kuua raia asiekua na hatia.
Kwa sheria za Tz hakuna haki ya raia kuuwawa tena asiye na hatia et kwasababu tu ana interest na chama kingne, naupinzan co uadui kama inavyotazamwa kwasasa ko usihalalishe mauaji ya watu tena kwasababu nyepesi kama hyo
Weka sifa zake na kwann unampendekeza huyo?!!!Nafikiri Sabaya anafaa.
Kwa kazi wanayofanya kuwalinda watawala wetu, makazi ya askari wa rank za chini ni ya duni sana. Huwezi kulinganisha makazi ya Watanzania wengine wa chini ambao kazi yao si "kulinda watawala"Maisha ya askari wa Tanzania yanaendana na mazingira ya Mtanzania, wote sisi tunaishi hivyo kama askari wetu pia, ...
Kwa kazi wanayofanya kuwalinda watawala wetu, makazi ya askari wa rank za chini ni ya duni sana. Huwezi kulinganisha makazi ya Watanzania wengine wa chini ambao kazi yao si "kulinda watawala"
Usipende kuweka itikadi kwa kila hoja, tujadili kama Watanzania. Tuweke siasa pembeni.
Naomba tuheshimiane we kijana.
Usiniletee mimi hasira za kushindwa uchaguzi we kenge. Mimi nasema ukweli tumeshindwa kihalali sababu mlikumbatia upuuzi wa mwenyekiti. Mimi huwa sipindishi maneno we fala.