Rais Magufuli wewe ni Rais wetu sisi sote Watanzania. IGP Sirro hafai ukiapishwa teua IGP mwingine

Rais Magufuli wewe ni Rais wetu sisi sote Watanzania. IGP Sirro hafai ukiapishwa teua IGP mwingine

Hata ikiundwa upya ni sawa na divai kwenye kiriba cha zamani. .....
Polisi ni kuifumua yote iundwe upya, kwa sheria na Miongozo mipyaaa. Hata ukimtoa IGP haisaidii. Polisi waaambiwe ni kosa kuua raia asiekua na hatia.
 
Kwa sheria za Tz hakuna haki ya raia kuuwawa tena asiye na hatia et kwasababu tu ana interest na chama kingne, naupinzan co uadui kama inavyotazamwa kwasasa ko usihalalishe mauaji ya watu tena kwasababu nyepesi kama hyo

Ni wapi na lini Mtanzania kauliwa na polisi wetu kisa uanachama wa chama cha Siasa? Sijawahi kusikia popote kwenye familia na ukoo wangiu kuna watu tofauti wenye mitazamo tofauti wa Kisiasa lkn hakuna hata mmoja aliyewahi hata tu kusimamishwa na Polisi wetu sababu ya Siasa, hata Kitaani kwetu sijawahi kusikia kuna vijiwe wameweka bendera za cuf au hata chadema hakuna aliyewahi kuulizwa chochote polisi wetu, ...
 
Ushauri wa hovyo hauwezi fanyiwa kazi.
Police wamefanya kazi nzuri Sana ya kuipa ushindi ccm
 
Maisha ya askari wa Tanzania yanaendana na mazingira ya Mtanzania, wote sisi tunaishi hivyo kama askari wetu pia, ...
Kwa kazi wanayofanya kuwalinda watawala wetu, makazi ya askari wa rank za chini ni ya duni sana. Huwezi kulinganisha makazi ya Watanzania wengine wa chini ambao kazi yao si "kulinda watawala"

Usipende kuweka itikadi kwa kila hoja, tujadili kama Watanzania. Tuweke siasa pembeni.
 
Kwa kazi wanayofanya kuwalinda watawala wetu, makazi ya askari wa rank za chini ni ya duni sana. Huwezi kulinganisha makazi ya Watanzania wengine wa chini ambao kazi yao si "kulinda watawala"

Usipende kuweka itikadi kwa kila hoja, tujadili kama Watanzania. Tuweke siasa pembeni.

Wanalinda siyo Viongozi tu bali na sisi pia, tuko salama sababu ya kazi nzuri ya askari wetu, ndiyo kuna shiuda ya makazi hiyo i hali halisi ya nchi yetu kulingana na pia uchumi wetu, ...
 
Usiniletee mimi hasira za kushindwa uchaguzi we kenge. Mimi nasema ukweli tumeshindwa kihalali sababu mlikumbatia upuuzi wa mwenyekiti. Mimi huwa sipindishi maneno we fala.

Hasira gani, ww huwa nakupa ukweli wako, kabla hata ya haya maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura hivi juzi, chini ya vyombo vya dola na tume ya ubaguzi. Huu upuuzi wa juzi uitwao uchanguzi, tumeuona kwa macho yetu na wala hatuhadithiwi. Ni hivi, hakuna cdm duwanzi wa sampuli yako fullstop.
 
Back
Top Bottom