Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.
Mkuu,Ethiopia haiwekezi katika "white elephants" bali kupitia vichwa makini vyenye uthubutu wa kutenda na kuleta matokeo chanya ya kiuchumi. Wao huangalia "demand driven financial leverage" badala ya "supply driven political leverage". Huwezi kulinganisha mikakati ya kibiashara ya Ethiopian Airway na hili la kwetu. Huwezi kulinganisha miundombimu ya usafiri wa umma wa "trams" na hii ya kwetu ya mabasi ya mwendokasi, miradi makini ya vyanzo vya umeme, japo kwa kutaja machache.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ethiopia hakuna wajinga Kama bongo kwaiyo kuna utofauti hapoukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.
Mkuu, Babu M hivi kwako inaingia akilini kuvunja jengo la makao makuu ya TANESCO na kisha kujenga "interchange" ambayo hata haiathiri uwepo wa jengo lililokwisha kuvunjwa, hivi unaona ni vyema kuwekeza mabilioni kufufua shirika la ndege ambalo halimudu biashara za kiushindani, hivi unafikiri kuna uharaka wa kuingia madeni yenye masharti ya kibiashara ili kukamilisha miradi ya SGR na bwawa la umeme, hivi unafikiri ilikuwa ni wazo la kijinga kwa serikali ya awamu ya 4 kutaka kutekeleza miradi ikijumuisha na ile ya bandari ya Bagamoyo (ambayo yameachwa kwa makusudi licha ya uwepo wa MoU) kwa njia ya PPP, pengine haya machache yanatosha kwa ajili ya mjadala zaidi.Mkuu,
Kwanini unasema ni white elephants?
Unasema miradi ya Ethiopia kama hii ya kwetu lakini hauwezi kuilinganisha. Unamahanisha nini?
Subiri zitto huko alikofichwa na mange aje na takwimu zake!ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Kama Watanzania mnataka kujipima kiuchumi nawasishi mjilinganishe na Kenya tu, hiyo ndiyo nchi ambayo tukijengeana wivu wa maendeleo tutapiga hatua. Kwanza tuna share mpaka kwa sehemu kubwa kuliko nchi nyingine yeyote, tuna muingiliano wa watu wa mpakani, tunafanana historia angalao kwa 70%.Wananchi wa Ethiopia wanatoroka kila siku kama wahamiaji haramu.
Ethiopia ni moja ya nchi top 10 zenye wahamiaji haramu wengi.
Hizo ndiyo guiding principles za economic growth. Bahati mbaya tunaongozwa Dikteta anayejifanya anajuwa kila kitu kumbe anajuwa kemia tu.Mkuu, Babu M hivi kwako inaingia akilini kuvunja jengo la makao makuu ya TANESCO na kisha kujenga "interchange" ambayo hata haiathiri uwepo wa jengo lililokwisha kuvunjwa, hivi unaona ni vyema kuwekeza mabilioni kufufua shirika la ndege ambalo halimudu biashara za kiushindani, hivi unafikiri kuna uharaka wa kuingia madeni yenye masharti ya kibiashara ili kukamilisha miradi ya SGR na bwawa la umeme, hivi unafikiri ilikuwa ni wazo la kijinga kwa serikali ya awamu ya 4 kutaka kutekeleza miradi ikijumuisha na ile ya bandari ya Bagamoyo (ambayo yameachwa kwa makusudi licha ya uwepo wa MoU) kwa njia ya PPP, pengine haya machache yanatosha kwa ajili ya mjadala zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app