Rais Magufuli yuko sahihi kabisa baada ya muda tutakuwa kama Ethiopia

Rais Magufuli yuko sahihi kabisa baada ya muda tutakuwa kama Ethiopia

Kwa hiyo lengo lenu mnataka baada ya Muda Watanzania tuanze kuwa wahamiaji haramu kwenye nchi za watu kama hawa Waethiopia wanaokamatwa kila Mara Bagamoyo na Iringa wakijarib kwenda kutafuta maisha mbali na nchi yao, kutokana na ugumu wa maisha ya Ethiopia? Mungu tunusuru.
 
Bangi ya wapi hii kali namna hii mkuu.???

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Ndiyo majibu haya kwa wasomi waoga.

U/sizwe ilipoanzishwa na Madiba walisema bangi. leo wako wapi?

Sababu mimi ni Mwafrica, ndiyo maana ni bangi. ningekuwa Mzungu ungeanza kusifia absolutely!! Yes! yes!

Huu ni ugonjwa mbaya sana unatakiwa uwe eradicated kwanza bila kusita.

Mpaka mpate refferences za uzunguni ndiyo mnazinduka. Km alivo fanya Joseph stalin, Mao de dong, ni ulimbukeni uso kifani hii iko sana kwa wasomi wa vijiji vya ndani huko km kiribo.

Ktk mapambano yetu mtu km wewe ni kuliwa kichwa tu. Ndiyo utajua ni bangi au ni bapa.
 
Sawa lakini vipi raia wao tunawakamata kila siku ni maharamia kwao kuna shida gani naliwe,
 
Open domain to whom? I guarantee you that you do not know what happened to Zimbabwe. Very few people understands and knows what precisely happened to Zimbabwe. You are one of those people who are followers.

Talking about JPM, you better give me strength, its only few imbeciles like you who do not understand todays world. Wake up and smell the coffee.

The fact you don't know the meaning of the term "open domain" says it all.
I am done with you.
Keep on licking assess.
 
Tatizo la watanzania sisi ni waongeaji sana mjiulize kwanini wakolon walijenga reli na meli mwaka 1907 wakati huo ata nguo za kuvaa hatukuwa nazo?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Magufuli ni level nyingine ndugu zangu mabadiliko ya akili za miaka 100 mbele ina macho ya pyramid shape wachache wako kwenye appex na ndo wenye uwezo wa kuona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wengi tutatukana sana humu mpaka mtakapo ona kama yule kipofu aliyeshikwa macho na yesu akaona na nyie mtashangilia reli mwaka 2060 kwamba sasa naona


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Magufuli ni level nyingine ndugu zangu mabadiliko ya akili za miaka 100 mbele ina macho ya pyramid shape wachache wako kwenye appex na ndo wenye uwezo wa kuona


Sent from my iPhone using JamiiForums
Thubutu hana maono hayo Bali anatuharibia uchumi tu.
 
Wengi tutatukana sana humu mpaka mtakapo ona kama yule kipofu aliyeshikwa macho na yesu akaona na nyie mtashangilia reli mwaka 2060 kwamba sasa naona


Sent from my iPhone using JamiiForums
Reli itakamilika lakini haitakuwa na mzigo wa kubeba.
 
Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.


Hizo takwimu sio sahihi. Mind you.
 
Hili swali la waethiopia kuikimbia sana nchi yao huku ikidaiwa kuwa uchumi wao unakuwa vizuri haliwezi kupata jibu kwa wale wanaodai uchumi wao unakuwa.

Kukua kwa uchumi ambako hakuwezi kujiakisi kwa wananchi ni utapeli tu wa wanasiasa tabaka la watawala na ukuaji huo huishia kwenye makaratasi tu.

Hiyo hali ndio ipo China, Ethiopia na sasa watawala wa hapa wanataka Tanzania pia ifuate huo mwelekeo hasi. Pesa inakuwa mikononi mwa serikali huku wananchi wengi wakiishia umachinga na uchomaji mahindi.
 
Hivi ndugu zanguni hivi Ethiopia nayo ilishahawi kupigana Vita ya uchumi
 
Sasa Tanzania ikiwa kama Ethiopia, Baba yako na Mama yako wataacha kuvaa kandambili au?

Mara nyingine watu na heshma zenu mnageuka vituko na vioja mbele ya Jamii

Jitu zima unasubiri Tanzania iwe kama Ethiopia, Maendeleo ni wewe binafsi achana na ujinga huo

Hata Tandale kuna barabara za lami na taa zinafungwa, Je wameacha kula utumbo na miguu ya kuku
Duuh, kweli Mkuu,akili zingine unakuwa kama amevaa chupi kichwani.
 
Tatizo Watanzania hatueleweki...Kikwete mlimponda, kaja JPM kwa muelekeo Tofauti bado munamponda..nasema hivi hatakuja tokea Raisi Mzalendo kama JPM...sisi watu tuliopo ndani ya mfumo tunajua ni jinsi gani uyu jamaa alivyo na uchungu wa Nchi.

Watanzania uwa wanakuja kumkubali mtu mpaka atakapo toka.

Angalizo: Msitumie taarifa za uongo ili kupamba uzi wako na kupata umaarufu umu... Jamii forum ipo kwenye Taa nyekundu mtapata matatizo ya kujitakia.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ethiopia wamegawanyika sana kiukabila, mimi naona hayo ndiyo maendeleo ambayo Tz ndio tunajaribu kuyaiga kutoka kwao chini ya huu utawala wa kiimla.
 
Hawa watu wanakamatwa kwa mafungu hapa Tanzania kama wahamiaji haramu..

Mungu atuepushe na uchumi kama huo..
 
Back
Top Bottom