Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli
Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli
Endeleeni kuota ndoto za mchana. Eti nchi za Magharibi zinaweweseka, kwa kipi ambacho tunacho na hawawezi kukipata wakiamua? Anachokifanya Magufuli ni kuifanya Tanzania kuwa the economic casket case. The worst version of Zimbabwe.
Rubbish!! Nenda kawadanganye ngumbaro ambao hawajui kusoma
Tunaongoza kwa data za kupika.
ndiyo maana hawa Wahabeshi wanaikimbia nchi yao kila uchwao. ile nchi ipo siku ni mijusi ndiyo itakuwa inatumia miundombinu iliyojengwa. sitaki Tanzania yangu ifike huko.... noooo freaking way!!Du uchumi wa aina hiyo Mungu atuepushe . nilikua Ethiopia mwezi wa kumi mwaka Jana .hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja. Hata wafanya kazi ni mbaya sana ingawa kweli serikali ina hela
Hayo ya WaEthiopia kuchukuliwa kwenye lori kama nyanya au unazungumzia ya wapi mkuu?Ethiopia haiwekezi katika "white elephants" bali kupitia vichwa makini vyenye uthubutu wa kutenda na kuleta matokeo chanya ya kiuchumi. Wao huangalia "demand driven financial leverage" badala ya "supply driven political leverage". Huwezi kulinganisha mikakati ya kibiashara ya Ethiopian Airway na hili la kwetu. Huwezi kulinganisha miundombimu ya usafiri wa umma wa "trams" na hii ya kwetu ya mabasi ya mwendokasi, miradi makini ya vyanzo vya umeme, japo kwa kutaja machache.
Sent using Jamii Forums mobile app
On your dreams mate, you do not even know what happened to Zimbabwe.
Asante, heri yako wewe unaangalia makalio yakoTunakufahamu wewe, hakuna kizuri kinachofanywa Tanzania kwa sababu unaangalia pua yako.
Bila Black Africans innovation sioni mwanga wa matumaini ktk bara la Africa.
Machandaise type of bussiness will take us to no where else.
Tutakuwa temporarily at the peak for some years, km Venezuela. Then down we gonna fall.
Nashauri hivi, tujipime, tujitafakari kabisaaa! Halafu tukiona tuko fit, kwa idadi na kujitoa hasa,
Tufanikiwe kuzichapa kavukavu na weupe, yaani, kufa kupona, piga nikupige, ama zako ama zangu, na Western allies.
Chinja kanyaga twende, teketeza bila huruma, mweusi anayesitasita unamla kichwa haraka, vibaraka wote waliwe vichwa.
Maneno mengi yasotija kula kichwa, bila kujali yaani wakuu nawambia tukifanikiwa hili Africa ni miezi sita tu inakuwa zaidi ya Ulaya unayoijua leo!
That will be new in the vocabulary, unless you know what I mean.Asante, heri yako wewe unaangalia makalio yako
It is you who is dreaming. What happened to Zimbabwe is the open domain, any drunk imbecile can decipher what was the causes of the economic problems in Zim.
An even more drunk imbecile will NEVER fail to see that Magufuli at the very best is mismanaging the country's economy.
You discuss economic issues in a political biased way. How comes a well planned economic country her people are one of the most emigrants in Africa going to "the poor" countries like Tanzania! Have you ever heard about Americans running to Mexico? Ahahahahahhah!Ethiopia haiwekezi katika "white elephants" bali kupitia vichwa makini vyenye uthubutu wa kutenda na kuleta matokeo chanya ya kiuchumi. Wao huangalia "demand driven financial leverage" badala ya "supply driven political leverage". Huwezi kulinganisha mikakati ya kibiashara ya Ethiopian Airway na hili la kwetu. Huwezi kulinganisha miundombimu ya usafiri wa umma wa "trams" na hii ya kwetu ya mabasi ya mwendokasi, miradi makini ya vyanzo vya umeme, japo kwa kutaja machache.
Sent using Jamii Forums mobile app