Rais Magufuli yuko sahihi kabisa baada ya muda tutakuwa kama Ethiopia

Rais Magufuli yuko sahihi kabisa baada ya muda tutakuwa kama Ethiopia

ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Kwanini wahamiaji haramu wanao kamatwa Mara kwa Mara sehemu Kubwa ni wa Ethiopia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa Tanzania ikiwa kama Ethiopia, Baba yako na Mama yako wataacha kuvaa kandambili au?

Mara nyingine watu na heshma zenu mnageuka vituko na vioja mbele ya Jamii

Jitu zima unasubiri Tanzania iwe kama Ethiopia, Maendeleo ni wewe binafsi achana na ujinga huo

Hata Tandale kuna barabara za lami na taa zinafungwa, Je wameacha kula utumbo na miguu ya kuku
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
 
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja

Ethiopia raia kumiliki hata kipande cha ardhi ni issue au kununua gari,wewe usione wanakamatwa kwenye makontena unadhani mchezo,Ethiopia hali ni mbaya sana
 
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Tuwe kama Ethiopia,Wananchi waanza kukimbilia nchi nyingine kama wahamiaji haramu wa Ethiopia

Sent from my SM-A207F using Tapatalk
 
Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.

Tunaongoza kwa data za kupika.
 
Hongera kwa kuongeza idadi ya vichaa tanzania!!!!
 
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli

ethiopia ni nchi isiyokuwa na chochote ikaweka kuwa kama mapatishio ya ndege endapo yaki kwakwama wapate pesa .lakini wananchi wake wnakimbia nchi yao wapate fursa.ukiongea ukweli sana unajikuta wewe ni wa beberu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ethiopia !!??hamna bora ungesema south Africa ambao wahabeshi wanapakimbilia kila siku....hivi kuna faida gani kuwa na ng'ombe 978 kwenye zizi ilihali wewe mmiliki na familia yako mnashindia uji na dagaa na mnavaa nguo zilizochanika huku mkijisikia kutajwa tu ni matajiri wa mifugo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du uchumi wa aina hiyo Mungu atuepushe . nilikua Ethiopia mwezi wa kumi mwaka Jana .hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja. Hata wafanya kazi ni mbaya sana ingawa kweli serikali ina hela

Mkuu umesema kweli!! Nimefanya kazi huko, ninashangaa mpk leo uchumi unaaokuwa ni upi hasa. Umasikini, maradhi na ujinga ni vikubwa mnooo. Yaani kama ni kwa ulinganifu - idadi nzima ya waTz ndio iliyo masikini Ethiopia. Naona mkuu hafahamu Ethiopia halisi, anajua ile ya kwenye makaratasi.
 
Kama Ethiopia wana uchumi mzuri Mbona vijana wao wanakimbia nchi yao sasa!!!???
 
Pamoja na hayo kuna watu pale Ethiopia wako kama akina Lissu, Zitto na wengineo.

Hawapendi kuona utulivu.
 
Mungu tuepushie hili balaa...vijana wana bwabwaja tu hawajui kiasi gani wananchi wa Ethiopia wanateseka..serikali ya Ethiopia ina pesa watu wanakufa njaa...huduma za kijamii mbovu..wameboresha viwanja vya ndege...na vitu kama hivyo ambavyo vina maana lakini haviwasaidii chochote raia wa kawaida na maisha ya mmoja mmoja ni janga kuu...na naamini Tanzania tunaelekea huko. Ndo maana kila uchwao tunashuhudia Waethiopia wanakimbia Taifa lao....mlivyo na akili mbovu hamuwezi hata kutafakari kwanini raia wa Kawaida wanalikimbia Taifa lao? Kama wangekuwa wana maisha mazuri wangekuwa wanakimbia kwenda nchi nyingine wakati mwingine wanafia njiani? Unapaswa ujue kuwa Waethiopia wanaokamatwa hapa TZ ni wachache sana kuliko wale wanaofanikiwa kupita bila kukamatwa. Juzi mh Kabudi alifikisha wazo hili kwa Serikali ya Ethiopia kuwa iangalie jinsi ya kuwazuia vijana wake kutoroka Taifa lao japo ukweli na yeye anaujua kuwa wanakimbia ugumu wa maisha kwao. Naona kuna Watanzania hamna akili kabisa...upumbavu umejaa vichwani...tangia serikali ya Rais Magufuli ianze kazi hamuoni hali inavyozidi kubadilika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mradi wa mabasi ya mwendokasi ni mzuri sana! Tatizo lake ni uendeshaji tu!
Tufautisha muktadhi ya uwekezaji wenyewe na ule wa uendeshaji.

Ethiopia haiwekezi katika "white elephants" bali kupitia vichwa makini vyenye uthubutu wa kutenda na kuleta matokeo chanya ya kiuchumi. Wao huangalia "demand driven financial leverage" badala ya "supply driven political leverage". Huwezi kulinganisha mikakati ya kibiashara ya Ethiopian Airway na hili la kwetu. Huwezi kulinganisha miundombimu ya usafiri wa umma wa "trams" na hii ya kwetu ya mabasi ya mwendokasi, miradi makini ya vyanzo vya umeme, japo kwa kutaja machache.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli

Tuko hapa tunataka kujifunza kwenye taifa la hovyo lenye uchumi mdogo zaidi ya Kenya?

Tuko hapa tunataka kujifunza kwenye taifa la kipumbavu zaidi yetu?

Tumejosa role models mpaka tunataka kuifata mavi Ethiopia?

Tume prove Kenya hatuiwezi maana ina mifumo imara in such a way ni migumu kukopi mpaka tunaenda mavi wenzetu Ethiopia?

Haya majitu yanayotetea mawe hayana akili,hayajui chochote kuhusu uchumi wa chochote!

Hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom