Elice Elly
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 1,267
- 1,593
Kwanini wahamiaji haramu wanao kamatwa Mara kwa Mara sehemu Kubwa ni wa Ethiopia?ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Ukiwemo naEthiopia hakuna wajinga Kama bongo kwaiyo kuna utofauti hapo
Bongo kuna wajinga asilimia 99
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Ethiopia raia kumiliki hata kipande cha ardhi ni issue au kununua gari,wewe usione wanakamatwa kwenye makontena unadhani mchezo,Ethiopia hali ni mbaya sanaukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Tuwe kama Ethiopia,Wananchi waanza kukimbilia nchi nyingine kama wahamiaji haramu wa Ethiopiaukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli wajinga wanipinge kwa matusi walevu kwa hoja
Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.
Hongera kwa kuongeza idadi ya vichaa tanzania!!!!Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli
Du uchumi wa aina hiyo Mungu atuepushe . nilikua Ethiopia mwezi wa kumi mwaka Jana .hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja. Hata wafanya kazi ni mbaya sana ingawa kweli serikali ina hela
Ni sawa na kushindana na jirani yako kujenga ghorofa huku wanao wanakisogelea kifo kwa utapiamlo na magonjwa mengine ya umasikini.Miradi mikubwa huwa hairukiwi, kuna namna yake ya kuianzisha na kuiendesha!
Ethiopia haiwekezi katika "white elephants" bali kupitia vichwa makini vyenye uthubutu wa kutenda na kuleta matokeo chanya ya kiuchumi. Wao huangalia "demand driven financial leverage" badala ya "supply driven political leverage". Huwezi kulinganisha mikakati ya kibiashara ya Ethiopian Airway na hili la kwetu. Huwezi kulinganisha miundombimu ya usafiri wa umma wa "trams" na hii ya kwetu ya mabasi ya mwendokasi, miradi makini ya vyanzo vya umeme, japo kwa kutaja machache.
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli