Rais Magufuli yuko sahihi kabisa baada ya muda tutakuwa kama Ethiopia

Kwa hiyo na sisi raia wetu watakuwa wakimbizi kila siku? Kwani kila mwanasiasa akiongea kitu hata kama ni cha kijinga lazima upandishe uzi?
 
Yaani sijawahi kuona wabongo wa level yako hii" tangu nizaliwe!!!

Unapick role Model wako, ambaye ni

Life failure,
Maskini,
Mtengwa,
Mchovu,
Mjinga,
watoto wake wametoroka shida kwa taabu nyingi tena kwa kupita jangwani kwa miguu, walichagua bora wafe wanakimbia kuliko kifia kwao, unatakakuiga mtu huyuo!
Mlala hoi.
Njaa!
Mgomvi,
Mchovu.
Mchafu
Hao ndiyo Unatamani mambo yao, kwani Mkuu round ya ngapi unapiga sasa?
 
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli
Kwa maana hiyo na sisi tutakuwa tunakamatwa kwenye nchi za wenzetu tukiwa tunakimbilia south africa?
 
Bila Black Africans innovation sioni mwanga wa matumaini ktk bara la Africa.

Machandaise type of bussiness will take us to no where else.

Tutakuwa temporarily at the peak for some years, km Venezuela. Then down we gonna fall.

Nashauri hivi, tujipime, tujitafakari kabisaaa! Halafu tukiona tuko fit, kwa idadi na kujitoa hasa,

Tufanikiwe kuzichapa kavukavu na weupe, yaani, kufa kupona, piga nikupige, ama zako ama zangu, na Western allies.

Chinja kanyaga twende, teketeza bila huruma, mweusi anayesitasita unamla kichwa haraka, vibaraka wote waliwe vichwa.

Maneno mengi yasotija kula kichwa, bila kujali yaani wakuu nawambia tukifanikiwa hili Africa ni miezi sita tu inakuwa zaidi ya Ulaya unayoijua leo!
 

Endeleeni kuota ndoto za mchana. Eti nchi za Magharibi zinaweweseka, kwa kipi ambacho tunacho na hawawezi kukipata wakiamua? Anachokifanya Magufuli ni kuifanya Tanzania kuwa the economic casket case. The worst version of Zimbabwe.
 
ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli
One of the underlying causes of the prevailing tense political situation is Ethiopia’s bogus claim about “miraculous” economic growth in the last decade.

The youth is not benefiting from the country’s supposed growth and doesn’t anticipate the fulfilment of those promises given the pervasive nepotism and crony capitalism that underpins Ethiopia’s developmental-ism.

The ruling Ethiopian People’s Revolutionary Democratic Front (EPRDF) came to power in 1991 and briefly experimented with democratic transition. However, a little over a decade into its rule, the party’s former strongman, the late Meles Zenawi, realized that their pretentious experiment with liberal democracy was not working. Zenawi then crafted a dubious concept called, “developmental state.”

Stripped of the accompanying jargon and undue sophistication, Zenawi was simply saying that he had abandoned the democratic route but would seek legitimacy through economic development guided by a strong hand of the state. This was a ploy, the last ditch attempt to extend EPRDF’s rule indefinitely.

Using fabricated economic data to seek legitimacy and attract foreign direct investments, the regime then advanced narratives about its double-digit economic growth, described with such catchphrases as Ethiopia rising, the fastest growing economy in the world and African lioness. The claims that EPRDF has delivered economic growth at miraculous scales has always been reported with a reminder that it takes several decades to build democratic governance. The underlining assumption was that, as long as they deliver economic growth, Ethiopia’s leaders could be excused on the lack of democracy and human rights abuses associated with the need for government intervention in the economy.

The government can manipulate data on any other sector, including the aggregate Gross Domestic Product, and get away with it, but agriculture is a tricky sector whose output is not so easy to lie about. The proof lies in the availability of food in the market, providing the absolute minimum subsistence for the rural and urban population.
 
Endeleeni kuota ndoto za mchana. Eti nchi za Magharibi zinaweweseka, kwa kipi ambacho tunacho na hawawezi kukipata wakiamua? Anachokifanya Magufuli ni kuifanya Tanzania kuwa the economic casket case. The worst version of Zimbabwe.

On your dreams mate, you do not even know what happened to Zimbabwe.
 
Du uchumi wa aina hiyo Mungu atuepushe . nilikua Ethiopia mwezi wa kumi mwaka Jana .hali ya maisha ya mwananchi mmoja mmoja. Hata wafanya kazi ni mbaya sana ingawa kweli serikali ina hela
ndiyo maana hawa Wahabeshi wanaikimbia nchi yao kila uchwao. ile nchi ipo siku ni mijusi ndiyo itakuwa inatumia miundombinu iliyojengwa. sitaki Tanzania yangu ifike huko.... noooo freaking way!!
 
Hayo ya WaEthiopia kuchukuliwa kwenye lori kama nyanya au unazungumzia ya wapi mkuu?
 
On your dreams mate, you do not even know what happened to Zimbabwe.

It is you who is dreaming. What happened to Zimbabwe is the open domain, any drunk imbecile can decipher what was the causes of the economic problems in Zim.
An even more drunk imbecile will NEVER fail to see that Magufuli at the very best is mismanaging the country's economy.
 
Wewe upo kwenye 99% au hiyo 1% iliyobaki.??

Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 
Bangi ya wapi hii kali namna hii mkuu.???
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
 

Open domain to whom? I guarantee you that you do not know what happened to Zimbabwe. Very few people understands and knows what precisely happened to Zimbabwe. You are one of those people who are followers.

Talking about JPM, you better give me strength, its only few imbeciles like you who do not understand todays world. Wake up and smell the coffee.
 
You discuss economic issues in a political biased way. How comes a well planned economic country her people are one of the most emigrants in Africa going to "the poor" countries like Tanzania! Have you ever heard about Americans running to Mexico? Ahahahahahhah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…