Ad majorem
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 939
- 1,460
Ndiyo majibu haya kwa wasomi waoga.Bangi ya wapi hii kali namna hii mkuu.???
Msafwa,
Uporoto, Mbeya..
Open domain to whom? I guarantee you that you do not know what happened to Zimbabwe. Very few people understands and knows what precisely happened to Zimbabwe. You are one of those people who are followers.
Talking about JPM, you better give me strength, its only few imbeciles like you who do not understand todays world. Wake up and smell the coffee.
Thubutu hana maono hayo Bali anatuharibia uchumi tu.Magufuli ni level nyingine ndugu zangu mabadiliko ya akili za miaka 100 mbele ina macho ya pyramid shape wachache wako kwenye appex na ndo wenye uwezo wa kuona
Sent from my iPhone using JamiiForums
Reli itakamilika lakini haitakuwa na mzigo wa kubeba.Wengi tutatukana sana humu mpaka mtakapo ona kama yule kipofu aliyeshikwa macho na yesu akaona na nyie mtashangilia reli mwaka 2060 kwamba sasa naona
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hizo takwimu sio sahihi. Mind you.Tutakuwa mfano katika nchi za Afrika ambazo kwa muda mrefu tumekuwa tunadharaulika. JPM ni game changer, you just watch what will happen. Msione Nchi za magharibi zinaweweseka. We are ready to show the way. Ethiopia ni cha mtoto, hata kabla Bwawa la Mwalimu Nyerere kwisha tumekuwa leading African country kutoa umeme kwa kila raia anayeishi Tanzania vijijini 74% sio haba tanahitaji kufikia 100% ifikapo 2022.
Duuh, kweli Mkuu,akili zingine unakuwa kama amevaa chupi kichwani.Sasa Tanzania ikiwa kama Ethiopia, Baba yako na Mama yako wataacha kuvaa kandambili au?
Mara nyingine watu na heshma zenu mnageuka vituko na vioja mbele ya Jamii
Jitu zima unasubiri Tanzania iwe kama Ethiopia, Maendeleo ni wewe binafsi achana na ujinga huo
Hata Tandale kuna barabara za lami na taa zinafungwa, Je wameacha kula utumbo na miguu ya kuku