Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 Feb 20, 2020 #81 JAYJAY said: Ethiopia wamegawanyika sana kiukabila, mimi naona hayo ndiyo maendeleo ambayo Tz ndio tunajaribu kuyaiga kutoka kwao chini ya huu utawala wa kiimla. Click to expand... Hata huyo Jiwe ni mkabila sana. Angalia teuzi zake na matumuzi ya hovyo ya fedha kwa kanda ya ziwa na wilaya ya Chatto
JAYJAY said: Ethiopia wamegawanyika sana kiukabila, mimi naona hayo ndiyo maendeleo ambayo Tz ndio tunajaribu kuyaiga kutoka kwao chini ya huu utawala wa kiimla. Click to expand... Hata huyo Jiwe ni mkabila sana. Angalia teuzi zake na matumuzi ya hovyo ya fedha kwa kanda ya ziwa na wilaya ya Chatto
Sijijui JF-Expert Member Joined Jan 14, 2018 Posts 7,877 Reaction score 8,804 Mar 28, 2020 #82 naliwe said: ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli Click to expand... Unamaanisha tutaanza kukamatwa kwenye nchi za watu tukiwa tumefungiwa kwenye makontena tukitoroka Tanzania?
naliwe said: ukiangalia video hii utagundua kua uchumi wa ETHIOPIA umekua kwa kasi hadi kufikia kuitwa CHINA YA AFRICA kutokana na miradi mikubwa kama anayoifanya Rais wangu mpendwa Mgufuli Click to expand... Unamaanisha tutaanza kukamatwa kwenye nchi za watu tukiwa tumefungiwa kwenye makontena tukitoroka Tanzania?