elias maswe
Senior Member
- Jan 8, 2017
- 195
- 229
Anaanza Rais wa Jamhuri, anafata Makamu wa kwanza wa Rais (Rais wa Zanzibar) anafata Makamu wa Rais, Anafuata Spika wa Bunge na Jaji mkuu,Zitatamatika soon baada ya shughuli iliyowapeleka kumalizika.
Kila mmoja amekwenda kwa tukio muhimu, ila imetokea tuu matukio yamegongana.
Tuna kitu kinachoitwa hierarchy anaanza Rais, VP, Rais wa ZnZ, PM, Spika, JM,
Wale VP wawili wa Zanzibar, katiba ya JMT haiwatambui!. Ikitokea wote sita hawapo, anateuliwa most senior cabinet minister mmoja kukaimu urais.
Hakuna hatari yoyote!. Ulinzi wa nchi ni chini ya CinC, ambayo haikaimishwi, CinC asipokuwepo nchini, ulinzi wa nchi uko chini ya CDF.
Faida ni nyingi!.
P
Waziri Mkuu ni mtendaji wa shughuli za Serikali bungeni