Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

Anaanza Rais wa Jamhuri, anafata Makamu wa kwanza wa Rais (Rais wa Zanzibar) anafata Makamu wa Rais, Anafuata Spika wa Bunge na Jaji mkuu,

Waziri Mkuu ni mtendaji wa shughuli za Serikali bungeni
 
1. Zitatamatika lini ? Siku gani ?
Zitatamatika ile siku zitakapofikia tamati, siku hiyo itakuwa siku ya hiyo tamati, jina la siku hiyo ni ama Jumamosi, Jumapili, Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, au Ijumaa.
2. Faida ni nyingi , kama zipi hizo ? Zitaje
Faida za ziara za viongozi nje ya nchi ni nyingi sana siwezi kutaja zote, ila naweza kukusaidia wewe mwenyewe kuzijua. Kwa vile kwako una chumba na una kitanda cha kulalia, fikiria faida utakazo zipata kama utaamua kujifungia tuu chumbani kwako bila kutoka nje na ukitoka ni sebuleni, na ukitoka nje nikwa jirani tuu?. Chumbani ni Tanzania, kwa jirani ni Africa.
3. Kwani utaratibu wa ziara za viongozi wetu upoje ? [ Umesema zimetokea zime gongana ].
Utaratibu wa ziara za viongozi wetu uko ok kama unavyoendelea hauna tatizo lolote. Shughuli ni zimegongana na hii sio mara ya kwanza kwa shughuli kungongana, Samuel Sitta akiwa Spika amewahi kuachiwa nchi.
P
 
CinC ndo nini kiongozi?????!!!!???
 
Usijali hakuna baya la kutokea, kama halijatokea viongozi nchi nyingi za Africa zikiwa kwa kwini na wakawekwa kwenye bus la king msukuma iweje itokee leo? Relax.
 
Hata Babu yangu MSEKWA Alishawahi achiwa nchi akiwa Spika
 
CinC ndo nini kiongozi?????!!!!???
Commander in Chief, hata rais akiwa hayup nchini, huu ukamanda in Chief hakasimu!, anasafiri nao popote!. Akitokea ni mgonjwa na hawezi kumudu majukumu, anayekaimishwa anaapishwa na Jaji Mkuu kuwa Kaimu Rais.
P
 
Wameenda huko walikokwenda kwa sababu maalum, hawakwenda kutalii ndugu wewe. Soma magazeti na uangalie walichoenda kufanya kule. Acha mambo ya uchimvi wewe.
 


Nimegundua anatulisha sana matango Pori
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…