Ni kama alivyomtimua yule jamaa Nape nnauye!!! Akajikunjaaa maskini kama alijua vile hivi yuko wapi?Nmeamini Serikali Haina shukrani,
Yaani mzee hata hajazikwa bado ila familia tayari ishatimuliwa kwenye nyumba ya serikali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigogo mkuda Sana.Bashiru Ally punguza ku kaba. Najua utatolewa hapo wala VP hupati.
Bila shaka huyo jamaa ni mrundi 🤣Jifunze kwanza kuandika!
Nimemuona mtaa wa pili kwa mbaali ila hutamjua.
Uongo mwingine huu ulijuaje? Hao watoto mbona hatuwaoni?Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
Mh. Aboubakar KunengeAndika jina kamili, kunenge au kitenge
Huyo Bashiru alisema hatakubali uteuzi mwingine wowote baada ya kuteuliwa kuwa KMK, lakini tumesikia anaumendea u VP, how!!? From obscurity unataka ukamate kila nafasi kubwa nchini, wengine hawapo?Bashiru Ally punguza ku kaba. Najua utatolewa hapo wala VP hupati.
Nahisi unasema kuhusu kuchukua tahadhari, nilitamani kuanzia sasa mama asionekane kabisa katika makundi ya watu.Usalama wa Taifa kwa Nini bado wanaruhusu haya mambo?? hawataki tu kubadilika??
Alikazania midege tuuuuu! Anaishi pachafu!!! Sasa midege itabeba mkaa.Nimtazama sakafu ni kama imechoka, ina maana Ikulu wanasubiri sakafu ichoke kiasi kile!!
View attachment 1729462
POLE MAMA JANAET .....TUNAJUA UNA UCHUNGU SANA MAANA DAKTARI WA RAIS NA KINA BASHIRU WALIKUWA WANAKUFICHA HATA WEWE HALI YA MUME WAKO KWA KUOGOPA ETI WATU WATAJUA KUWA AMEFARIKI ...NAO WALIKUWA HAWATAKI ..MTU AJUEHongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
Loooh:Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.
Na ushungi avae nani?Mbona Rais wetu hajavaa barakoa.
Pengine zilikuwa haziivi hauwezi juaCheo kimoja
Aliyelala usimuamshe ukimuamsha utalala wewe.Endelea kuuchapa usingizi.Haya sasa!
Unaonyesha ujuha wa ajabu sana, tena hadharani.
Sijui ni kilaza gani unamlenga hasa kwa upuuzi wa namna hii; au unajiandikia tu kufurahisha roho yako; hakuna lolote unalotaka kueleza watu walifikirie kwa umuhimu wake?
What are you talking?acha uchawi usituroge humu jf .....umesikia ngoma wapi au muziki watu wanacheza?
Hapa tuna teta yanayo jiri ndani ya jf km ana kuuma sana na wewe kufwaaa!
Watu tusipumue ebooo!
Alikuwa analetewa watoto?Hongera mama Magufuli. Walau utakuwa na uhakika mmeo yupo kaburini. Si kwa michepuko ile .Hadi anazaa nje anakuletea watoto unalea tena kwa moyo mmoja. Mama Janet Mungu kakuona.