Biashara nyingi zimeuliwa na serikali ya jiwe kuna jamaa zangu wako bagamoyo kiwangwa , imagine walikua wanalima mananasi kama hawana akili nzuri miaka ya nyuma na walikua wana masoko kenya hadu Sudan Kusini baada ya sera za hovyo za miaka hii ya karibuni mipaka imefungwa waliokuwa wanakuja kununua mananasi kwa mafuso na malori hawapo tena yaani kimsingi wakulima wanapata tabu sana