Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

NI VYEMA SUALA LA UWEKEZAJI LIKAWA NA "ONE STOP DESK" YAANI OFISI AMBAYO ITAKUWA NA WATU WA VITENGO VYOTE MUHIMU BAADA YA WAZO LA MWEKEZAJI KUPITIA KWENYE DESK MOJA MAALUMU TU LITAKALOKUWA LINAUTATHIMINI MRADI HUSIKA KWA KINA TENA KWA WIKI MOJA TU THEN KAZI INATUPWA KWENYE ONE STOP DESK KWA UTEKELEZAJI WA HARAKA
 
Watanzania tuna katabia fulani hivi ka USUGU na hivyo kujaribu jaribu kufanya mambo ya hovyo kwa nia na lengo la kupima nini kitafanyika. Hali hiyo imeanza kuonekana kwenye miaka ya 2018 hadi sasa, kuna maofisa huko Serikalini wanafanya mambo ya hovyo kama vile wanipima hii Serikali itafanya nini, hasa hasa baada ya moto wa Magufuli "kupoa kidogo".

Nashauri Serikali ikaze kamba, itumbue zaidi na iwashughulikie hao wapiga madili na wezi wa mali ya umma kwa moto mkubwa, kwa kweli uwe zaidi ya ule wa muhula wa kwanza, muhula uliopita, katika Awamu hii ya tano. Tumbua tumbua irudi upya na Mahakama ya Wahujumu Uchumi ifanye kazi yake kisawasawa.
 
Hakuna mwekezaji mwenye akili timamu anayeweza kuja kuwekeza nchini. Tatizo la kwanza nchi hii haiheshimu utawala wa sheria. Maofisa wa serikali wanaweza tu kujiamulia kushikilia au kufunga biashara binafsi kwa sababu ya kijinga kabisa. (Tumeona juzi Mkuranga RC anakataza mwenye kiwanda cha Rhino asihamishe mitambo kama kwamba na yeye ni mmiliki wa hiyo mitambo)

Nchi ina utitiri wa taasisi zinazowaandama wawekezaji kama mbu. Kuna TBS, BRELLA, Fire, NEMC, OSHA, Leseni, TRA, manispaa, jiji na kila ghasia. Katika mazingira kama haya hamna mtu atakuja kuwekeza.
 
Hawa waliokuja juzi kutoka aliko Lissu, Ubelgiji na EU, nao wamo kwenye hilo kundi au hawakukutana na UONGO wa Lissu!? Nenda Ulaya, nenda Asia, nenda UK, nenda Urusi au popote kule duniani, mifumo ya usimamizi na ya kisheria pamoja na vyombo na Taasisi husika vipo kote.

Sasa wewe unaibuka na kulaumu uwepo wa hivyo vyombo na Taasisi husika unataka wafanye kazi au wawekeze kwa sheria, kanuni na taratibu za MAKWAO wakati wamo humu MWETU!?
 
(Tumeona juzi Mkuranga RC anakataza mwenye kiwanda cha Rhino asihamishe mitambo kama kwamba na yeye ni mmiliki wa hiyo mitambo)
Usilalamike, waambie wafuate taratibu za kuhamisha kampuni kama inavyoelekezwa kwenye makubaliano waliyoingia
 
Usilalamike, waambie wafuate taratibu za kuhamisha kampuni kama inavyoelekezwa kwenye makubaliano waliyoingia
Hao walinunua. Unampangiaje mnunuzi pa kupeleka mali yake aliyonunua kihalali?
 
Hao walinunua. Unampangiaje mnunuzi pa kupeleka mali yake aliyonunua kihalali?
Unaujua mkataba alioingia na serikali? Unawezaje kuzalisha bila kuwa na vitendea kazi?
 
NI VYEMA SUALA LA UWEKEZAJI LIKAWA NA "ONE STOP DESK" YAANI OFISI AMBAYO ITAKUWA NA WATU WA VITENGO VYOTE MUHIMU BAADA YA WAZO LA MWEKEZAJI KUPITIA KWENYE DESK MOJA MAALUMU TU LITAKALOKUWA LINAUTATHIMINI MRADI HUSIKA KWA KINA TENA KWA WIKI MOJA TU THEN KAZI INATUPWA KWENYE ONE STOP DESK KWA UTEKELEZAJI WA HARAKA
Sawa. Je hii itakuwa tofauti na the so called ONE STOP CENTRE" au ni majina tu? Napita tu sijui!
 
Usilalamike, waambie wafuate taratibu za kuhamisha kampuni kama inavyoelekezwa kwenye makubaliano waliyoingia
Halafu ni lazima kuwe na utaratibu, vinginevyo, leo mwekezaji atajenga kiwandan say Arusha, baada ya muda, kwa sababu zake binafsi, atataka akihamishie say Mwanza! Hii siyo sawa na nini kitatokea kwa staff wa kwanza hapo Arusha, atawalipa au basi! Utaratibu lazima ufuatwe kwenye mambo muhimu kama haya.
 
Brela na TRA wanasimamia hilo kwa karibu sana
 
Utakuja kushangaa hata CCM ikiondoka madarakani mambo yakawa ni yale yale. Kumbuka kuwa hata hao viongozi watakaokuja nao ni zao la mifumo na falsafa zile zile. Viongozi hao hawatatoka mbinguni.

Hebu angalia nchi za Kiafrika walikoweza kuondoa chama tawala na wapinzani kuingia. Ni wapi walikoweza kuleta mabadiliko ya kweli na kufumua mifumo na kuanza upya? Zambia? Malawi? Kenya (japo KANU ilikufa jina tu lakini tabaka tawala ni lile lile)?

Ila naungana nawe. Kuna haja ya kuwaachia na wengine wajaribu jamani. Liwalo na liwe japo wahenga waliwahi kutudanganya eti zimwi likujualo kamwe haliwezi kukula likakumaliza!
Issue siyo kuondoa chama A kuweka chama B suluhisho ni strong taasisi zenye uwezo wa kusimamiana.

Kwabza Magufuli kwa asili tu ni mtu mwenye chuki kalii ajiona mtu anapiga hatua, as that siyo mtu aneamini kwenye sekta binafsi.
 
Back
Top Bottom