Rais, mchukue Robert Heriel wa JamiiForums awe mwandishi wako wa hotuba 2025

Tatizo mtu hata uwe na IQ kubwa kiasi gani ukienda CCM tu ujue wanafubaza akili yako ili uwe kama wao.
 

Attachments

  • IMG-20241008-WA0001.jpg
    57.3 KB · Views: 4
  • 20240824_025055.jpg
    34.7 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1604027510826.jpg
    34.8 KB · Views: 4
Mtaani pagumu sana.
Wafanya masikhara nini. Kuna mama lishe naendaga kula hapa Misungwi anasema anakaribia kufunga genge maana watu siku hizi wanakula mara moja tu hata haelewi nini kimetokea. Mtaani kunazidi kuwa kugumu; na wakati huo huo uchumi unakua kwa kasi, TRA wanavuka malengo ya makusanyo na mikopo mikubwa mikubwa inazidi kutiririka. Tatizo liko wapi? Ni mafisadi yanakomba pesa zote na hazifiki mitaani ama? 😲
 

Vizuri kujipigia kampeni wewe mwenyewe. Nakupa assignment ndogo Rais anataka kuuza Bandari, misitu, Kuwafukuza wamasai, dili la Sukari, umeme, maji kutokupatikana, bei juu ya petrol nipe mfano wa hotuba yako itakuwaje?
 

Mkuu wakati anasubiri wito rasmi ikimpendeza mheshimiwa, wewe huhitaji mtu wa kukupa miongozo ya hapa na pale akaanzia kwako?
 
Huyo chizi , hafai hata kua mjumbe wa nyumba kumi
 
Huyo chizi , hafai hata kua mjumbe wa nyumba kumi
Ukiangalia ni njaa tu, anatafuta ulaji tu kwa mrija. Hakuna maslahi ya Taifa hapo ama sivyo asingeomba kujiunga na serikali inayowapoteza wapinzani wake.
 
Swali la nyongeza huyo Robert unayempigia chapuo amezindikwaa usije ukamponza mtoto wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…