mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ushaanza zengwe 😄kwa maslahi mapana ya familia hii pana na muhimu sana ya JF, nadhani angebaki humu humu kwenye platform hii ili hatimae aendelee kuibua hisia zenu vizuri zaid kama ambavyo point yako ya pili inavyosema. Akiondoka nani atachochea hisia tena humu jukwaani?
au mbadala wake atakua nani kwa mfanao, na itapendeza zaidi![]()
Ova