Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Ndugai huyoYaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Vipi kuna rais mwingine anaumwa ama ndo yule yule wa geitaYaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Hii mada si imeshaisha? Tuendeee na mambo mengine sasaYaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Maoni yako yazingatiwe.hajiwezi
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.[emoji2827]Yaani kiongozi wa nchi anaumwa muda mrefu, ugonjwa endelevu, anapotelea hospitalini majuma kadhaa, anapambania maisha yake kufa na kupona, hajiwezi. Lakini katika mazingira hayo hayo, taifa zima halijulishwi chochote, makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa kimakusudi asijue chochote. Hatimaye Rais anafariki dunia, bado makamu wake hajui chochote, watu wengine wanakaa chini kujadili namna ya kuendesha mambo ya msiba bila makamu wa rais kujua chochote.
Tuseme ukweli, kuna nchi inaongozwa na kikundi cha watu wasiojulikana na kinyume cha katiba kwa 100%. Kuna kila dalili huenda mambo yakawa magumu zaidi huko mbeleni.
Nakuambia mkuu. Vijana wanakomaa nayo tu.Hii mada si imeshaisha? Tuendeee na mambo mengine sasa
Atajulishwa kwa updatesKwani mama akilazwa na Filips atakuwa kando yake kitandani?
Kwa hiyo Mabe ni muongo?Kwani Samia amewahi kuthibitisha hivyo? Nashangaa wengi mnatumia kauli ya Mabeyo kama ndio final, au kwasababu alikuwa CDF!
VP angeweza kupewa taarifa kwa njia nyingine za kimawasiliano, na wakati akipewa hizo taarifa sio lazima Mabeyo awepo.
Mabeyo sio muongo, yeye amezungumzia part yake ya story, kile alichohusika nacho, lakini mkumbuke kuna part nyingine pia za story hiyo hiyo ambayo Mabeyo hakushiriki, kama mawasiliano ya viongozi wengine serikalini.Kwa hiyo Mabe ni muongo?