Rais mgonjwa mahututi mpaka mauti, lakini makamu wake hajui, aelezwi na anafichwa!

Watanzania wapumbavu sana.

Mabeyo kaongea nukta tu kati ya mengi aliyokuwa yakijili.

Kwa akili yako kweli unafikiri Samia alikuwa hajui?

NB. Namlaumu sana Mabeyo kwanini wakuwakuchukua nchi ile siku pengine hawa mchwa wanaokula nchi saa hii wasingekuwepo.
 
katika nchi zote za kidemokrasia duniani kiongozi ni moja tu, Rais 🐒

wasaidizi wengine ni ikiwa tu,
kuna umuhimu wa kufanya hivyo 🐒
 
YOTE HAYA ALIYATENGENEZA JPM MWENYEWE KWA KUTENGENEZA SECRET STATE NDANI YA STATE
 
itasaidia nini sasa 🐒

acha kubeza waTanznia kwa dharau hivyo 🐒
 
Corona ndiyo ilimuua baada ya kuidharau, so swala la nani alimuua jibu lake liko wazi
 
CDF anakosa adabu kuongelea mazingira ya kifo cha kiongozi, no wonder alifurushwa.
 
Mpumbavu at its best!!President wa nchi yupo ICU fighting for his life,PM analitamkia taifa kuwa yupo na siha Tele,VP eti ana ziara Tanga for 5 days,moja ya mikoa midogo sana nchini,kumweka VP for 5 days pale ile tiss yenye heshima isingeruhusu hili kufanyika,vidudu mtu vilitawala nchi kwa wakati ule,Tiss na PPU ya President Nyerere ilikua super,respected na yes iliogopwa na kila mtanzania,salute kwao hasa mlipofanikiwa kumpeleka President Nyerere pale GABBS kwenye mdomo wa kaburu na kumrudisha nyumbani safely,President Nyerere alisimama pekee juu kabisa na very exposed alipokua akiweka shada la maua kwenye mazishi ya President Khama
 
Unaongelea mambo yaliyopita au mambo ya sasa hivi. Au unamaanisha kuna mtu mkubwa zaidi ya wote anaumwa halafu Filipi hajui. Hebu fafanua kidogo
 
Pole mkuu, naona kwa sasa ulaji hauko upande wako ndiyo maana unapiga kelele sana. Ila zoea tu ndiyo ile wanaita nyumaaaa geukaa hahaha wakwanza anakuwa wa mwisho
 
Hivi unajua hata mjadala hapa unazungumzia kitu gani?!

Mjadala unazungumzia VP kunyimwa taarifa ya ugonjwa wa Hayati Magufuli, wewe una hakika alipewa au hakupewa?

Najua jibu huna, ajabu unakuja na story ya ziara ya Tanga for 5 days, kwani akiwa Tanga VP asingeweza kupewa taarifa juu ya hali ya mgonjwa hospitalini?

Unatuletea historia ya TISS ya Nyerere hapa, inahusiana kitu gani na mjadala uliopo mezani!.

Unaandika kama bata, huna paragraph, unachanganya herufi kubwa na ndogo, uko empty sana kichwani.

Kawaida yangu nikiona kiumbe kinaanza mjadala na tusi tu, automatically najua kichwani mwake hamna kitu, kwani kimtokacho mtu ndicho kimjazacho.
 
Hakuna kitu kama hicho,kama hatua Ile ilipita kumbe tayari udhibiti ukifanyika.

Samia amebadikisha sheria ya Usalama wa Taifa kumpa Rais udhibiti zaidi baada ya mambo kama hayo.
 
CDF anakosa adabu kuongelea mazingira ya kifo cha kiongozi, no wonder alifurushwa.
Mbona hakuna shida ,kiongonzi sio Binadam? ,ila swali ambalo sijapata jibu lake ni kwamba ,

Hivi ukishakua Rais nafasi ya familia nayo unapokonywa, kwamba kisa mimi Rais basi Mke wangu astahili kuniuguza , au kuwa karibu na mimi nikiwa katika hali ya Ugonjwa, je kama nipo na kauli yangu ya mwisho kwa familia ninayoiacha kupitia mke wangu iyo nafasi naipaje?

Naongea hivi kwa sababu Mabeyo anasema mpaka mwendazake anatwaliwa hata mke wake alikua hana taarifa, kwa nini? Binafsi naona marehem alinyimwa haki ya msingi , mke wake alitakiwa kuwa naye karibu au utaratibu upo vipi?
 
Angeambiwa mapema angeanza kupanga safu yake, ila Lissu alikuwa na taarifa zote
 
Ukishakuwa Rais, Padre, Askofu wewe siyo mali ya familia yako tena we ni nembo ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…