Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

Naona angeacha tu aweke mifumo bora kuanzia alipoingia, unajua hizi siasa za chuki mara nyingi huwa hazijengi kwenye hizi nchi zetu za Africa.
Waweza kukuta jamaa wanapanga kumpindua
 
Naam kwa Africa yetu hii ...unachosema nakiamini
 
Hata kama itachukua miaka mingi, hapa kwetu kuna watu wana takiwa wawekwe kwenye records. Hata kama wamekufa makaburi yao yashtakiwe.
Kweli ... Nakubaliana pamoja na wewe 100%
 
Naona sheria za kinga zilizotungwa kwa kasi ya sgr majuzi, muda ukifaka zitachanwa chanwa na wahutumiwa kusimamishwa kizimbani. Makuburi yatafukuliwa tu.Hamna namna.
 
kwani sheria zinatungwa na rais au bunge? basi rais akijisikia kufuta baadhi ya sheria zinazombana basi anafuta na kuweka zakwake anazotaka na kuona zinamfirva
 
Mikwara mingi mwisho wa siku boya kateua baraza la mawaziri limejaa ndugu na washkaji zake.
Fvck u pastor politician
 
...Ndio maana wanakuwa wagumu sana kuondoka madarakani!
MTU anajiwekea sheria ya kutoshitakiwa halafu anayeingia madarakani anaivunjilia mbali sheria dhalimu hiyo...!
 
...Ndio maana wanakuwa wagumu sana kuondoka madarakani!
MTU anajiwekea sheria ya kutoshitakiwa halafu anayeingia madarakani anaivunjilia mbali sheria dhalimu hiyo...!
Ndo maana namshangaa sana jiwe na spika wanavyokua bize kuweka sheria za kujilinda wanasahau anaweza akaja rais mwingine na wabunge wake wakaziondolea mbali dakika sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…