Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

La msingi asimuonee mtu kwa kabila, chama, dini etc. atende haki bin haki....Kama kuna visa kama vya Ben Saanane, Azory, Mawazo, Viroba vya maiti coco beach, persecutions, kutumia madaraka vibaya, kuvunja katiba .. etc, hivyo vishughulikiwe haki itendeke johnthebaptist
 
Naona ile ya kuongezeana muda madarakani ikieenda kufanyika hapa kwetu na sasa hivi itakua ni milele mpaka afie kitini.
 

Big up Presda Chakwera!!!
 
Chiluba alianza hivyo hivyo naye alipomaliza akaswekwa gerezani kama alivyomfanyia Kaunda , na alishafariki kamuacha mhe. Kaunda, siasa za Africa hazinaga maana kuna wengine wanampigia makofi lakini hawapo naye.
 
Huyu ngoja naye muda wake ukipita watamuondolea hiyo kinga.
 
Kumbe hata kule nchini PORTLAND ambako rais na seniors wengine walikojiwekea sheria ya kutoshitakiwa anaweza akaingia mbabe mmoja akafuta hizo sheria sio?
Mkuu ni rais sana, Kama walijiwekea Kinga kihuni yupo atakaeingia na kuziondoa hizo Kinga kihuni, Cha muhimu ni viongozi kufanya kazi kwa kufuata sheria bila ya chuki
 

Kwanini wewe ulitaka afanyeje?
Je wale waliotafuna fedha ya serikali waachwe tu waendelee kupeta?
Je kushughulikia wahujumu uchumi ni dhambi?
Una hoja mfu!
 
Chawa wa Lumumba wakisikia hizi habari mavi yanagonga kyupi [emoji3]
 
Kwanini wewe ulitaka afanyeje?
Je wale waliotafuna fedha ya serikali waachwe tu waendelee kupeta?
Je kushughulikia wahujumu uchumi ni dhambi?
Una hoja mfu!
Olee'nsukuma waahe si'nawe?
 
Nchi za Malawi na Zambia ni kawaida kinapoingia Chama tofauti yule anaeangushwa lazima ashitakiwe.

Ni utamaduni wao hivyo hakuna Cha ajabu hapo kwa upande wao.
Tanzania hakijatawala chama tofauti na CCM ngoja tusubiri.
 
Hizo mbwembwe marais wote wanaotokea upinzani huwa wanaingia nazo,then hawachukia round moto unakata.

Wapi Buhari?
 
Huu ni moto wa Mabua, muda hauja isha Quinine, Umeshatoa kinga ya kutoshitakiwa kwa Rais, hapo amekurupuka pia ofisi bado hajaelewa vizuri inakuwaje ,usalama wake, maofisa wa usalama na taasisi nyingine zimeundwaje na kuna nini, hapo ameingia kwa nguvu ambayo anahitaji washauri makini
 
Malipo ni hapa duniani, ngoja nae aonje joto ili iwe fundisho kwa wengine, wanajisahau sana wakiwa madarakani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…