Rais Mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amuondolea Kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani, Peter Mutharika

Jambo zuri kumfutia kinga, ila hakuna haja ya kumshitaki, ukisha muondolea kinga ni wazi atajihisi ni mwepesi hiyo pekee inatosha kuonyesha kwamba kujiwekea kinga hakuna maana.
Huyo alomfutia mwenzake kinga badae akikarbia kustaafu asije akajiwekea ya kwakee....African leaders tunawajua.
 
Kunguni wa lumbumba hawaamin kilichomkuta mtawala wa malawi,wameamua kuja kutolea hasira zao humu
 
> Saa 24 tangu ashike madaraka, Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa Rais wa zamani wa nchi hiyo, Peter Mutharika

> Pia, amemfuta kazi Mkuu wa Polisi ambaye atafikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya utesaji na mauaji yanayomkabili. Wakati wa maandamano ya kupinga ushindi batili wa Rais Mutharika Mkuu huyu wa Polisi ndiye aliyekuwa "Maliyamungu" wa Rais Mutharika akiamuru polisi wawakamate waandamanaji, wawatese na hata kuwaua kwa mateso na risasi. Rais Chakwera pia amewataka Mawaziri kurudisha mali za Serikali walizoiba ndani ya saa 72 kisha washtakiwe na waliohujumu uchumi wafilisiwe.

NOTE: 1. Huu ni ujumbe mahsusi kwa Viongozi wanaopambana kujiwekea kinga za kutoshitakiwa. Mfahamu tu kuwa kinga hizo sio za milele siku mkiondolewa madarakani hakuna guarantee kuwa hizo kinga zitaendelea kuwepo pengine muombe Mungu mufe upesi kabla ya kufurushwa madarakani. Chama kingine kitaposhika hatamu huenda hizo kinga zikafutiliwa mbali na mkawa wenyeji wa mahakamani na hatimaye gerezani au kunyongwa hadi kufa sambamba na kufilisiwa.

2. Hapa kuna ujumbe unatumwa kwa wakuu wa Polisi pamoja na Polisi kwa ujumla. Wakati Mkuu wa majeshi wa Malawi akiamuru Jeshi liwalinde waandamanaji na kuwakabili Polisi wanaowapiga na kuwaua waandamanaji, Mkuu wa Polisi wa Malawi yeye alikuwa bize kuamrisha Polisi wawapigie waandamanaji kipigo cha MBWA KOKO hadi wachakae. Mkuu huyu wa Polisi alifanya haya ili kumfurahisha Rais Mutharika ili alinde MATUMBO yake ilihali akijua ni kukiuka Katiba na kinyume cha maadili ya kipolisi.

Wale polisi mnaotumiwa vibaya na watawala barani Afrika endeleeni tu kuwafurahisha wateule wenu ila mjue hawatokuwa madarakani milele.

Wahenga walisema mwenzako akinyolewa wewe zako tia maji.

Hili ni somo jengine kutoka Malawi sijui kama nchi ya KUSADIKIKA imejifunza chochote hapa. Wacha nimalizie riwaya pendwa ya "Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe" kabla ya kuanza kusoma "Mfalme Juha".

Nini maoni yako?

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
 
Huyo Raisi mpya wa malawi kachemka,Vifungu vya raisi kutoshitakiwa vinatikiwa vifutwe na bunge tu sio raisi!!! yeye nguvu hizo hana kisheria washauri wake wamempotosha
 
Ikiwa ni chini ya saa 24 tangu kuapishwa kwake, Rais mpya wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Peter Mutharika ili aweze kushtakiwa.

Vilevile, ili kuhakikisha kuwa mizizi ya utawala katili uliojawa na rushwa uliopita inang’olewa na kuondoka kabisa serikalini, Rais Chakwera amemtimua kazi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini huko Duncan Mwapasa na kumteua Inspekta Jenerali Dkt. George Kainja kuchukua nafasi hiyo.

Rais Peter Mutharika hakupata muda wa kufuta baraza lake la mawaziri ingawa alitakiwa kufanya hivyo siku chache kabla ya uchaguzi kama ambavyo katiba ya Malawi inamtaka kufanya. Mawaziri waliokuwa katika baraza lake wametakiwa kurudisha mali zote za serikali wanazozishikilia ikiwamo magari waliyopewa na serikali kufikia siku ya kesho kabla ya saa tano asubuhi.

Wakati huohuo, kutakuwapo na mabadiliko makubwa katika Mamlaka ya Mapato ya Malawi yanayotarajiwa kufanywa na Makamu wa Rais Dkt. Chilima ikiwa ni juhudi za kukabiliana na rushwa katika ofisi kubwa za serikali.

**** Watawala wetu wana la kujifunza****

Former president Peter Mutharika has been stripped of his immunity from prosecution and that he can now face charges, a law expert has said.

University of Malawi’s Chancellor College dean of law Sunduzwayo Madise said following legal ritual of new leader Lazarus Chakwera being sworn in as President of Malawi after winning an election rerun, the immunity has been inherited by Chakwera while Mutharika has lost it.

“And just like that by operation of the law the immunity that the former president had against prosecution and suits is gone,” Madise wrote on his Facebook wall.

Saulos Chilima, the vice-president, during Mutharika regime and remains in that position as Chakwera’s deputy, accused Mutharika of high-level graft.

Mutharika’s Democratic Progressive Party (DPP) officials were involved in numerous graft scandals including former minister Ben Phiri and Chief Secretary to government Lloyd Muhara.

With law degrees from the University of London and Yale, Mutharika left Malawi in the 1960s to settle in the United States.

He returned to the country in 1993 to help draft its first democratic constitution after the fall of Hastings Banda’s dictatorship.

Mutharika went back to the US but returned home in 2004 when his brother came to power, serving as his informal advisor.

A widower for 30 years, Mutharika has three children. In 2014 he married his second wife Gertrude Maseko, a former member of parliament.

Mutharika has been defeated by Chakwera who secured the required majority, with 58.57% of the vote, the electoral commission said.
Hapa sasa ndio what I really like

Asije geuka tu yeye akawa dikteta tena....

Siamini African leader mpaka nione mwaka umekatika yupo serious namna hii
 
Kila zama na kitabu chake!
 
Malawi wanatoa precedence nzuri Sana haswa suala la immunity to be prosecuted on court.

The wind of change is coming to Southern Africa
 
Nimeipenda hiyo statement ya kiinglish, "... the immunity has been inherited by Chakwera while Mutharika has lost it...!" Teh, teh, teh, teh!
 
Naona angeacha tu aweke mifumo bora kuanzia alipoingia, unajua hizi siasa za chuki mara nyingi huwa hazijengi kwenye hizi nchi zetu za Africa.
Kumshtali fisadi ni chuki..
Ila kumshtaki muiba kuku na mbuzi ni HAKI.!!
 
Ikiwa ni chini ya saa 24 tangu kuapishwa kwake, Rais mpya wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera amemuondolea kinga ya kutoshtakiwa aliyekuwa Rais wa taifa hilo, Peter Mutharika ili aweze kushtakiwa.

Vilevile, ili kuhakikisha kuwa mizizi ya utawala katili uliojawa na rushwa uliopita inang’olewa na kuondoka kabisa serikalini, Rais Chakwera amemtimua kazi Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini huko Duncan Mwapasa na kumteua Inspekta Jenerali Dkt. George Kainja kuchukua nafasi hiyo.

Rais Peter Mutharika hakupata muda wa kufuta baraza lake la mawaziri ingawa alitakiwa kufanya hivyo siku chache kabla ya uchaguzi kama ambavyo katiba ya Malawi inamtaka kufanya. Mawaziri waliokuwa katika baraza lake wametakiwa kurudisha mali zote za serikali wanazozishikilia ikiwamo magari waliyopewa na serikali kufikia siku ya kesho kabla ya saa tano asubuhi.

Wakati huohuo, kutakuwapo na mabadiliko makubwa katika Mamlaka ya Mapato ya Malawi yanayotarajiwa kufanywa na Makamu wa Rais Dkt. Chilima ikiwa ni juhudi za kukabiliana na rushwa katika ofisi kubwa za serikali.

**** Watawala wetu wana la kujifunza****

Former president Peter Mutharika has been stripped of his immunity from prosecution and that he can now face charges, a law expert has said.

University of Malawi’s Chancellor College dean of law Sunduzwayo Madise said following legal ritual of new leader Lazarus Chakwera being sworn in as President of Malawi after winning an election rerun, the immunity has been inherited by Chakwera while Mutharika has lost it.

“And just like that by operation of the law the immunity that the former president had against prosecution and suits is gone,” Madise wrote on his Facebook wall.

Saulos Chilima, the vice-president, during Mutharika regime and remains in that position as Chakwera’s deputy, accused Mutharika of high-level graft.

Mutharika’s Democratic Progressive Party (DPP) officials were involved in numerous graft scandals including former minister Ben Phiri and Chief Secretary to government Lloyd Muhara.

With law degrees from the University of London and Yale, Mutharika left Malawi in the 1960s to settle in the United States.

He returned to the country in 1993 to help draft its first democratic constitution after the fall of Hastings Banda’s dictatorship.

Mutharika went back to the US but returned home in 2004 when his brother came to power, serving as his informal advisor.

A widower for 30 years, Mutharika has three children. In 2014 he married his second wife Gertrude Maseko, a former member of parliament.

Mutharika has been defeated by Chakwera who secured the required majority, with 58.57% of the vote, the electoral commission said.
Aisee
 
Kumbe hata kule nchini PORTLAND ambako rais na seniors wengine walikojiwekea sheria ya kutoshitakiwa anaweza akaingia mbabe mmoja akafuta hizo sheria sio?
Masaa mawili yanatosha kutengua hiyo sheria, wala siyo kazi kama vile watu wanavyoaminishwa.
 
Yote hii ni chuki tu,wala si kwamba yeye aliye ingia atakua MUNGU, tena ndo anaweza kufanya nchi kua mbovu kabisa kuliko,yeye alikaa nje ya Ikulu akiitamani Ikulu na kua na chuki moyoni,hapo analipa visasi vya uchungu wa kuchelewa kwenda Ikulu kuchuma na yeye,hawanaga lolote hao wanaojiita wapinzani maana hata wao ni watu na si MUNGU, It's okay ya kwamba anapanga safu yake lakini mnadhani yeye ndo ataleta Maziwa na Asali Malawi? Jibu ni big NO
Wala hajawaahidi watu maziwa na asali, hao watu walikuwa vikwazo vya demokrasia kwa kuchakachua Kira na mhimili wa wizi,. Raisi mpya na yeye alaumiwe kama atafanya makosa ya namna hiyo.
 
Kasi kama hizi ndizo zinazofanya jamii ya akina Museveni, Kagame, Nkurunzinza, CCM et al kung’ang’ania viti. Hakuna ambaye anaweza kuimagine kinga yake kung’olewa within 24 hours huku akijua alikwapua mali za kutosha kwa njia haramu
 
Ni suala la pumzi tu, hata yule Mr. Mchochezi wa Kuwaiti tunajua kuwa atafia Gereza la Segedansa
 
Back
Top Bottom