Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio SITAKI,Hutaki sasa? Mfufue huyo mwenye avatar yako
Utuletee na invoice ya mauzo ili tujue tunagawana bei ganiHuyu ndo Dalali katika Kuuza nchi hii.
Huwa anaonekana kutofurahia kuwa keshafikisha miaka 70.Anataman umri urudi nyuma ila ndo basi tena
Nataka umfate MagufuliNdio SITAKI,
siwezi kumfufua. wewe unatakaje ?
Huna akiliNdo mastermind wa awamu hii .mabeberu karibu muda wao ndo huu
Sh ngapi? Aau kahawaHuyu si ndie aliyeuza gesi huyu 😂😂
Asa huyo mwendazake pamoja na yote hayo kuwakoromea mabeberu kafanya nini lamaanaIssue si kutoshirikiana.issue ni he tunarudi kushirikiana Kwa mtindo wa awamu ya nne .kuwa vichwa boga huku resources tunagawa bure. Every one knows hata wewe unajua kuwa ni very sensitive issue ngozi nyeusi kuwa na mutual benefit na mabeberu nao wanalijua. Mwenda zake alilijua ndo maana alegeukwa nao Ila pia na watu kama nyie
MATAGA hawajitambuiAjabu MATAGA hili litawaudhi
Jiue umfuate diktetaHili Taifa ni tabu kama tabu wa kule ichwakima😂😂😂
Raia hawajui wanachokitaka
Viongozi hawajui wanachokifanya
Upinzani hawajui wanacho kipigania
Taifa la kipumbavu kabisa kwenye uso wa dunia.
Yaaani tupotupoo tu....