Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
Ilisha simamia kuhakikisha samia anaapishwa.Jwtz itusaidie kusimamia utekelezaji wa katiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilisha simamia kuhakikisha samia anaapishwa.Jwtz itusaidie kusimamia utekelezaji wa katiba
Nyie si ndio mlisema tutashtakiwa MIGA nyie? Leo mnaongea nini tena?!
Unaweza kutoa mfano wa hizo resources ambazo aligawa bure wakati wa utawala wake?Issue si kutoshirikiana.issue ni he tunarudi kushirikiana Kwa mtindo wa awamu ya nne .kuwa vichwa boga huku resources tunagawa bure. Every one knows hata wewe unajua kuwa ni very sensitive issue ngozi nyeusi kuwa na mutual benefit na mabeberu nao wanalijua. Mwenda zake alilijua ndo maana alegeukwa nao Ila pia na watu kama nyie
MATAGA ni mambumbu hayo, yaani yameshasahau kutokana kuwa na akili kama za kukuMkemia mbona alikuwa anamtuma sana JK kwenda sehemu mbalimbali. Hofu ni lugha ama.
Wakati wa chadema yetu huyu tulimkandia sana, kazi yake ilikuwa kuchekacheka tu wakati nchi ilikuwa inaangamia kwenye wizi, ufisadi, biashara haramu, ubabaishaji, biashara ya sembe (mwana wa mfalme alikuwa kinara), na kila aina ya uovu usiokuwa na tija kwa taifa.Alishakwambia yukotayari kutumwa popote Rais mama samia kadri atakavyo kumtuma amtumie....huyu mtoto wamjini ndomana anapendwa sio mvivu hana kiburi
Gesi ya MtwaraUnaweza kutoa mfano wa hizo resources ambazo aligawa bure wakati wa utawala wake?
Dalali huyo, naona awamu hii anaupiga mwingi sanaAjabu MATAGA hili litawaudhi
Huyo dalali tu,balozi mlompigia debe na kumshangili atolewe kabudi si yupooo?yaani jamaa zetu wamekosa shukrani kabisa, hivi mnafikiri yule jamaa yenu angeupata Urais kama Msoga inc angeamua kuside na EL.... baada ya kumshukuru Msoga Inc alimtupa El na kuside na jamaa mpaka mwisho japo alikuja kugundua baadaye alifanya makosa...
Kabudi alifanya nini kwenye diplomasia, wakati kila uchwao tulikuwa tunaingia kwenye migogoro ya kidiplomasia na mataifa mbalimbali na Kabudi alikuwa anaishia kufokafoka tu...Huyo dalali tu,balozi mlompigia debe na kumshangili atolewe kabudi si yupooo?
Au mmeogopa ile speed yake ya kuongea kama cherehani
Hawajawahi kuondoka,migodi yote wanamiriki wao,Miundombinu yote mikubwa wanajenga wao,na juzi mmepewa 2.5,Tilioni kama mkopo,ili mkajikinge na malaria,mlipe mishahara,Ndo mastermind wa awamu hii .mabeberu karibu muda wao ndo huu
Sisi tunamtambua Vasco dagama,Raisi mbovu kuwahi tokea nchini.Kabudi alifanya nini kwenye diplomasia, wakati kila uchwao tulikuwa tunaingia kwenye migogoro ya kidiplomasia na mataifa mbalimbali na Kabudi alikuwa anaishia kufokafoka tu...
Ni kosa kwa Rais mstaafu kukutana na balozi wa USA? hukuona Obasanjo alikutana na JPM na Mama huku akiwa Rais mstaafu wa Nigeria... Unajua heshima ya Rais mstaafu na influence yake?... kwa taarifa yako JK ana heshima kubwa sana kwenye diplomasia maana amehudumu uwanja huo kwa muda mrefu saana na huwezi kumfananisha na yeyote yule....
Kwa upeo wako hujui wala kuona kabisa diplomasi ilivyoyumba kiasi cha kuhitaji manguli kuiweka sawa....Hujui kabisa kama Tanzania ilishaacha kuheshimika na watu kutupuuza..
Bora huyu aliyeweka transparency mpaka wewe leo unajua kulikuwa na ufisadi maana kuanzia bungeni, magazetini, redioni mpaka mitaani tulikuwa tunajadili na kupaza sauti...Huyu jamaa nikimuona Basi najikuta nakumbuka;
Richmond
Escrow
EPA
Buzwagi.
Twiga wetu.
Upigaji kila kona.
Gesi mtwara.
Ridhi na Ngada.
Uvasco Dagama.
Rasimu ya Katiba kutiwa kapuni na mabilioni kukiwa.
NA
MANENO YA MNYIKA BUNGENI KUA NI DHAIFU.
Hawajui hata ile iphone ya jamaa inatoka kwa mabeberu, wanasahau hata kale kadude walikaweka mabeberu, wanasahau ule mgari wenye maantena wametengeneza wao...Hawajawahi kuondoka,migodi yote wanamiriki wao,Miundombinu yote mikubwa wanajenga wao,na juzi mmepewa 2.5,Tilioni kama mkopo,ili mkajikinge na malaria,mlipe mishahara,
Kila V8 inayotumika bongo,unafikiri imetengenezwa Chato?kwa mabeberu,mpaka mafuta ya kula mnaagiza kwao.
Jifunze kuwa na adabu!Huyu ndo Dalali katika Kuuza nchi hii.