Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Nyie si ndio mlisema tutashtakiwa MIGA nyie? Leo mnaongea nini tena?!

..Acacia walishitaki ila Watz tulifichwa habari hizo.

..jiulize madai ya serikali ya usd 191 billion dhidi ya Acacia yameishia wapi.

..pia jiulize kwanini makinikia yanaendelea kusafirishwa nje ya nchi wakati serikali ilijiapiza kuwa kamwe hayatatoka.
 
Issue si kutoshirikiana.issue ni he tunarudi kushirikiana Kwa mtindo wa awamu ya nne .kuwa vichwa boga huku resources tunagawa bure. Every one knows hata wewe unajua kuwa ni very sensitive issue ngozi nyeusi kuwa na mutual benefit na mabeberu nao wanalijua. Mwenda zake alilijua ndo maana alegeukwa nao Ila pia na watu kama nyie
Unaweza kutoa mfano wa hizo resources ambazo aligawa bure wakati wa utawala wake?
 
Alishakwambia yukotayari kutumwa popote Rais mama samia kadri atakavyo kumtuma amtumie....huyu mtoto wamjini ndomana anapendwa sio mvivu hana kiburi
Wakati wa chadema yetu huyu tulimkandia sana, kazi yake ilikuwa kuchekacheka tu wakati nchi ilikuwa inaangamia kwenye wizi, ufisadi, biashara haramu, ubabaishaji, biashara ya sembe (mwana wa mfalme alikuwa kinara), na kila aina ya uovu usiokuwa na tija kwa taifa.
Msifieni nyie chadema ya sasa msiojali maslahi ya wananchi.
 
yaani jamaa zetu wamekosa shukrani kabisa, hivi mnafikiri yule jamaa yenu angeupata Urais kama Msoga inc angeamua kuside na EL.... baada ya kumshukuru Msoga Inc alimtupa El na kuside na jamaa mpaka mwisho japo alikuja kugundua baadaye alifanya makosa...
 
Huyo dalali tu,balozi mlompigia debe na kumshangili atolewe kabudi si yupooo?
Au mmeogopa ile speed yake ya kuongea kama cherehani
 
kuna wakati huwa kuongoza nchi yenye wajinga wengi ni rahisi sana, maana ukishawabrainwash unafanya utakavyo huku wajinga wakikushangilia kwa nderemo na vifijo...
 
unaweza ukawa unakopa tu kadili uwezavyo na kuwahadaa uliowabrainwash unafanya kwa fedha za ndani na bado wakakupigia makofi...

Unaweza kusimamisha kila jambo katika nchi na kupora hata hela za wananchi na kuelekeza hela kule unakotaka ili wananchi waone wakushangilie huku wakiwa hawajui time bomb limetegwa kila mahala linasubiri muda tu...
 
Huyu jamaa nikimuona Basi najikuta nakumbuka;
Richmond
Escrow
EPA
Buzwagi.
Twiga wetu.
Upigaji kila kona.
Gesi mtwara.
Ridhi na Ngada.
Uvasco Dagama.
Rasimu ya Katiba kutiwa kapuni na mabilioni kukiwa.
NA
MANENO YA MNYIKA BUNGENI KUA NI DHAIFU.
 
Huyo dalali tu,balozi mlompigia debe na kumshangili atolewe kabudi si yupooo?
Au mmeogopa ile speed yake ya kuongea kama cherehani
Kabudi alifanya nini kwenye diplomasia, wakati kila uchwao tulikuwa tunaingia kwenye migogoro ya kidiplomasia na mataifa mbalimbali na Kabudi alikuwa anaishia kufokafoka tu...

Ni kosa kwa Rais mstaafu kukutana na balozi wa USA? hukuona Obasanjo alikutana na JPM na Mama huku akiwa Rais mstaafu wa Nigeria... Unajua heshima ya Rais mstaafu na influence yake?... kwa taarifa yako JK ana heshima kubwa sana kwenye diplomasia maana amehudumu uwanja huo kwa muda mrefu saana na huwezi kumfananisha na yeyote yule....

Kwa upeo wako hujui wala kuona kabisa diplomasi ilivyoyumba kiasi cha kuhitaji manguli kuiweka sawa....Hujui kabisa kama Tanzania ilishaacha kuheshimika na watu kutupuuza..
 
Ndo mastermind wa awamu hii .mabeberu karibu muda wao ndo huu
Hawajawahi kuondoka,migodi yote wanamiriki wao,Miundombinu yote mikubwa wanajenga wao,na juzi mmepewa 2.5,Tilioni kama mkopo,ili mkajikinge na malaria,mlipe mishahara,
Kila V8 inayotumika bongo,unafikiri imetengenezwa Chato?kwa mabeberu,mpaka mafuta ya kula mnaagiza kwao.
 
Sisi tunamtambua Vasco dagama,Raisi mbovu kuwahi tokea nchini.
 
Huyu jamaa nikimuona Basi najikuta nakumbuka;
Richmond
Escrow
EPA
Buzwagi.
Twiga wetu.
Upigaji kila kona.
Gesi mtwara.
Ridhi na Ngada.
Uvasco Dagama.
Rasimu ya Katiba kutiwa kapuni na mabilioni kukiwa.
NA
MANENO YA MNYIKA BUNGENI KUA NI DHAIFU.
Bora huyu aliyeweka transparency mpaka wewe leo unajua kulikuwa na ufisadi maana kuanzia bungeni, magazetini, redioni mpaka mitaani tulikuwa tunajadili na kupaza sauti...

Sasa kazi kwa yule jamaa aliyebadili mpaka sheria za takwimu, kukataza bunge live na kuvinyima uhuru vyombo vya habari na kujitoa kwenye issue zote za transparency na raia wote kuogopa kuhoji chochote matokeo yake watu kama wewe kuwa brainwashed na kuwa blank kiasi cha kutoona ujinga wote uliokuwa ukiendelea....

Ukifunuliwa wizi wote kwa miaka mitano kwenye ile awamu ya yule jamaa basi huo ulioonyesha uliofanyika kwa miaka 10 unaweza ukawa ni robo tu ya wizi uliofanyika kwa miaka mitano..
 
Hawajawahi kuondoka,migodi yote wanamiriki wao,Miundombinu yote mikubwa wanajenga wao,na juzi mmepewa 2.5,Tilioni kama mkopo,ili mkajikinge na malaria,mlipe mishahara,
Kila V8 inayotumika bongo,unafikiri imetengenezwa Chato?kwa mabeberu,mpaka mafuta ya kula mnaagiza kwao.
Hawajui hata ile iphone ya jamaa inatoka kwa mabeberu, wanasahau hata kale kadude walikaweka mabeberu, wanasahau ule mgari wenye maantena wametengeneza wao...

yaani umezungukwa na vifaa vya electronics lukuki vilivyotengenezwa na unaowaita mabeberu halafu kila siku unawatukana....
 
Ni kweli, Kikwete alikuwa binadamu mwenzetu, jiwe alikuwa malaika, mwache akaongoze malaika, TB Joshua atakuwa shahisi wetu.
 
Back
Top Bottom