Ukistaafu unastaafu kweli, hii ni nini au kwa vile Rais ni mamaWadau wa JF
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Donald Wright
Balozi Wright amempongeza Dkt Kikwete kwa mahusiano mazuri baina ya Tanzania na Marekani
Balozi huyo pia amempongeza Dkt Kikwete kwa jitihada kubwa alizozifanya kupambana na ugonjwa wa Ukimwi kupitia mradi wa PEPFA