Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Hili Taifa ni tabu kama tabu wa kule ichwakima[emoji23][emoji23][emoji23]
Raia hawajui wanachokitaka
Viongozi hawajui wanachokifanya
Upinzani hawajui wanacho kipigania

Taifa la kipumbavu kabisa kwenye uso wa dunia.
Yaaani tupotupoo tu....
Mkuu ndo tushazaliw tz,punguza majungu
 
Gesi ya Mtwara
Gesi ya Mtwara imefanyaje?! Au nawe ni wale waliolishwa matango pori na JPM kwamba eti gas imeuzwa, huku wengine wakiwadanganya kwamba imeuzwa kwa Mchina!! Yaani mnashindwa hata kujiuliza how come kampuni za Ulaya zitumie millions of dollars kufanya utafutaji gesi halafu waache gesi waliyogundua auziwe Mchina?! Ina maana unawaona Wazungu wapumbavu watake kuwekeza more than $30 Billion kwa ajili ya kiwanda cha kuchakata gesi pale Lindi wakati gesi yenyewe keshauziwa Mchina?
 
Hawa makamanda uchwara hawaeleweki. Walimuita Kikwete rais dhaifu na Vasco da Gama hivi sasa eti wanaanza kumsifia, ha ha ha. CCM itawataleni miaka nenda rudi kwa dizaini hii nyie uchwara wa ufipa.
Kwa hiyo magonjwa unasemaje sasa? au nawe ndio wale walio hawajui wawaze nini na lini.
 
Wanadhani ndiye aliyesababisha kifo cha mkemia, wasijue wao ndiyo walisababisha kwa kumpamba kwa mapambio hata pale alipokuwa anakosea. Kuna mtu aliye kwenye system na cheo kizuri tu nilizungumza naye akaniambia ile inner circle ya mkemia sasa hivi ndiyo inaona makosa waliyokuwa wanafanya na kuanza kujilaumu. BTW Kikwete naye utawala wake ulikuwa mbovu sana hivyo tuombe Mungu tuzirudi tena kule.
Msirudi mara ngapi?
 
Babu Seya na Papii Kocha hawana hamu kabisa na huyu mtu!
 
Kauza gesi kwa nani? Lini?
Utakuwa umezaliwa juzi tu wewe....sio gesi ya Oryx ni Gesi ya ya asili huko Mtwara, hadi JWTZ walipelekwa huko, wananchi walitandikwa hasa, watu walikuwa wanalala saa kumi jioni.....watanzania tumeumbwa na usahaulifu!
 
Wadau wa JF


Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Marekani nchini Donald Wright
Balozi Wright amempongeza Dkt Kikwete kwa mahusiano mazuri baina ya Tanzania na Marekani

Balozi huyo pia amempongeza Dkt Kikwete kwa jitihada kubwa alizozifanya kupambana na ugonjwa wa Ukimwi kupitia mradi wa PEPFA
kuna watu hapa lazima wanune kwa nini Mh. Kikwete anaongea na mabeberu, afu anaongea kama nani kwanza.
 
Back
Top Bottom