Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Rais Mstaafu Dkt. Kikwete akutana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania

Soon na wewe utakuwa maiti unafikiri hutakuwa maiti jidanganye maana unajitoa ufahamu ili kujifurahisha lakini kumbuka kama sio wewe ni wazazi wako, watotot wako au mkeo atakuwa maiti soon note my word.
Hata kama;ile maiti ilikuwa inataka kutugeuza watumwa sasa iko wapi
 
Mimi nakulisha wewe na familia yako na elimu yangu ipo juu sio kama ya baba yako. Una utajiri gani ngiri maji wewe na elimu ipi? Changia acha kubeza usie mjua ninauwezo wa kukumiliki wewe na mkeo na kila mkeo akienda siku zake namnunulia pedi.
Mimi naoa kuanzia wazazi wako namalizia na familia yako. Halafu ndugu zenu wote. Mnakula ,mnakunywa na kunya kwangu. Ukoo wenu wote na ninawasukumia ndani.😁
 
Ajabu MATAGA hili litawaudhi
Otherwise lengo lilikuwa kupata likes..lakini kwa ukweli wake huu mkutano hauna maana yeyote kwa policy recipients. Uwe mataga or anti mataga..sisi wa chini ni wapokeaji na waathirika wa chochote kile kinachoendelea kwenye viambaza vya maamuzi.
 
Kivipi hauna maana?
Chini ya Kikwete Tanzania ndo ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupewa misaada ya pesa na USA...tuliitumia vipi hiyo misaada ni suala lingine...

Nchi zilizo tuzidi kama Israel zinaomba misaada ya USA ...ndo Sisi tuseme hatuhitaji misaada?
 
Ndio sababu nakwambia sisi sote ni decision recipients tu..hiyo categorization ya mataga vs anti mataga is just bs
 
Ungezaliwa wakati wa vita Baridi na ungefariki kabla ukuta wa Berlin halijavunjwa. Ila kwa mtu wa sasa lugha ya Mabeberu unakuwa huna akili kama Meko

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Acha ukichwa boga kwanza ndo ulete argument . Beberu Yuko pale pale ila myopic person hawezi kuona. Vita baridi hai justify wewe kukubaliana na scientific ubeberu uliopo kwa sasa. Tuna argue kujitegemea kwa Sababu resources zipo. Maza ana mwelekeo wa ku bow kwa sababu anaonekana ni misaada minded .hii haiji hivi hivi angalia wakikuletea wanakwambia peleka kwenye sijui vikope; ndui ; vyandarua nk hawaangalii priority zako Ili ujikomboe unaishia kuwa debt trapped na kuamriwa. Meco angesikiliza upuuzi wao si bwawa, reli wala njia nane vingekuwa hapo tungekuwa tuna Wimbo wa vikope, vyandarua nk ambazo ndo interest za huyo mnaemtetea
 
Mimi naoa kuanzia wazazi wako namalizia na familia yako. Halafu ndugu zenu wote. Mnakula ,mnakunywa na kunya kwangu. Ukoo wenu wote na ninawasukumia ndani.[emoji16]
Madhara ya kuchungulia mama yako akiwa analiwa na kubadilisha pedi lazima akili izame
 
Wanadhani ndiye aliyesababisha kifo cha mkemia, wasijue wao ndiyo walisababisha kwa kumpamba kwa mapambio hata pale alipokuwa anakosea. Kuna mtu aliye kwenye system na cheo kizuri tu nilizungumza naye akaniambia ile inner circle ya mkemia sasa hivi ndiyo inaona makosa waliyokuwa wanafanya na kuanza kujilaumu. BTW Kikwete naye utawala wake ulikuwa mbovu sana hivyo tuombe Mungu tuzirudi tena kule.
Wapinzani unawasingizia bure , Pro jamaa hawaamini ktk uongozi mama na hivi mama anaonekana ni diplomat & democrat. Hawaamini
 
Unadhani mimi ni mwehu aliyeanza ni nani?
kwa binadamu wa kawaida angeanza na wewe ukanyamaza ingemfanya ajione mjinga, kulipiza ndio shida inapotokea! Samahani ila sio lazima ufuate ushauri wangu, mimi nilijifunza nikaweza naamini nawe pia utaweza!
 
Issue si kutoshirikiana.issue ni he tunarudi kushirikiana Kwa mtindo wa awamu ya nne .kuwa vichwa boga huku resources tunagawa bure. Every one knows hata wewe unajua kuwa ni very sensitive issue ngozi nyeusi kuwa na mutual benefit na mabeberu nao wanalijua. Mwenda zake alilijua ndo maana alegeukwa nao Ila pia na watu kama nyie
YOUR TYPE OF PEOPLE!
1623235149501.png
😅
1623235185133.png
 
Kivipi hauna maana?
Chini ya Kikwete Tanzania ndo ilikuwa nchi ya kwanza Africa kupewa misaada ya pesa na USA...tuliitumia vipi hiyo misaada ni suala lingine...

Nchi zilizo tuzidi kama Israel zinaomba misaada ya USA ...ndo Sisi tuseme hatuhitaji misaada?
Mimi nakubaliana na wewe, Ila aina ya misaada ambayo israel inaomba US ni tofauti na sisi.
Hata hivyo kupenda kusaidiwa saidiawa sio sifa, naamini hata wewe hapo unapoishi hupendi kabisa kwenda kuomba msaada kwa jirani tajiri
 
Back
Top Bottom