Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Huku kwake akina Jecha wanaambiwa wafute uchaguzi kulinda chama chakavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akirudi Ta zania awe mwalimu mzuri kwa CCM na serikali yake. Pia awaambie Tume ya uchaguzi, polisi, Takukuru, uhamiaji na TRA watubu kwa kukubali kutumiwa wakati wa uchaguzi kuvuruga uchaguzi kwa kuwaandama na kuwakamata wagombea wasiotakiwa na CCM hata ndani ya CCM yenyewe..Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa........
Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.
![]()
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for professionally carrying out a smooth voting exercise despite reported cases of failed electronic identification kits in some polling stations.
The East Africa Community (EAC), the Intergovernmental Authority on Development (Igad), the Commonwealth, the African Union (AU), and the Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) observer missions also single out the police for heightened security at the polling centres.
However, the team faulted the use of state resources during political campaigns, failed Kiems kits in some polling stations, low voter turnout and lack of youth participation in both elective posts and the voting process.
![]()
Observers voice concern over multiplicity of Kenya electoral laws
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission and the police for smooth voting exercise.www.theeastafrican.co.ke
Huyu mzee ni mnafiki tu, madudu ambayo huwa anafanya na CCM wenzake hayaoni?Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa........
Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.
![]()
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for professionally carrying out a smooth voting exercise despite reported cases of failed electronic identification kits in some polling stations.
The East Africa Community (EAC), the Intergovernmental Authority on Development (Igad), the Commonwealth, the African Union (AU), and the Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) observer missions also single out the police for heightened security at the polling centres.
However, the team faulted the use of state resources during political campaigns, failed Kiems kits in some polling stations, low voter turnout and lack of youth participation in both elective posts and the voting process.
![]()
Observers voice concern over multiplicity of Kenya electoral laws
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission and the police for smooth voting exercise.www.theeastafrican.co.ke
Yeye mwenyewe anajua aliiba 2010 waziwaziAnasifia Kenya, lakini kwake Salma na Ridhiwani walipopata ubunge kihuni alikaa kimya.
Kwa mawazo yangu, ni kwamba anajutia kutoyafanya haya wakati alipokuwa na Uwezo wa Kuyafanya. Hata mtangulizi wake baada ya kugeuka nyuma aliona kuwa alikosea saana na kutamani mambo kama haya yafanyike na huku. FEDHEHA KUBWA MNO!!!!!Mwanaccm asifie demokrasia ! haya ni maajabu !
Kwa ubora wa uchaguzi wa kenya ni mtu asiye na akili anayeweza kubeza.Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa........
Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.
![]()
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for professionally carrying out a smooth voting exercise despite reported cases of failed electronic identification kits in some polling stations.
The East Africa Community (EAC), the Intergovernmental Authority on Development (Igad), the Commonwealth, the African Union (AU), and the Common Market for Eastern and Southern Africa (Comesa) observer missions also single out the police for heightened security at the polling centres.
However, the team faulted the use of state resources during political campaigns, failed Kiems kits in some polling stations, low voter turnout and lack of youth participation in both elective posts and the voting process.
![]()
Observers voice concern over multiplicity of Kenya electoral laws
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission and the police for smooth voting exercise.www.theeastafrican.co.ke
Na huhusika kuzuia mawakala wa vyama kuingia vituoni na wengine kuondoka na nyalaka za uchaguziWakati Police wa Kenya wanalinda usalama wakati wa upigaji kura na kura zenyewe, Police Tanzania wanahusika kubeba kura kwenye Viroba na kuingiza kwenye mfumo wa upigaji kura. Disgusting indeed
Angesemea wapi mbele ya chatu.Kikwete hana moral authority kutoa kauli hiyo. hafai, yaliyotendeka kwetu hakuyasemea hata siku moja. Mnafiki mkubwa
Hata mambo yaende vibaya kwa sasa hiyo haibadili ukweli kuwa uchaguzi umefanyika free, fair and transparent. Off course something may still go wrong hasa kama IEBC watachelewa kutoa matokeo ..... Lakini kwenye Parliament, Senate na Magavana hali ni shwari.Tungoje mwisho ndio tuseme
Huko hakuna shida kwa inchi yeyoteHata mambo yaende vibaya kwa sasa hiyo haibadili ukweli kuwa uchaguzi umefanyika free, fair and transparent. Off course something may still go wrong hasa kama IEBC watachelewa kutoa matokeo ..... Lakini kwenye Parliament, Senate na Magavana hali ni shwari.
Wametimiza wajibu, Hilo sila kusifiwa na Kila mmoja wetu, wengine yawapasa wachambue na dosari.Kwa ubora wa uchaguzi wa kenya ni mtu asiye na akili anayeweza kubeza.
Kwa kweli kikwete amedhihirisha hana aibu. Alikuwa rais, amesimamia mara kadhaa kuvuruga chaguzi, alivuruga bunge la katiba ambalo lingezaa utawala wa sheria nchini mwake. Leo anasimama kusifia demokrasia kwa jirani!Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa.