Kenya 2022 Rais mstaafu Dkt. Kikwete asifia uwazi uliodhihirishwa na Tume ya Uchaguzi Kenya

Kenya 2022 General Election
Akirudi Ta zania awe mwalimu mzuri kwa CCM na serikali yake. Pia awaambie Tume ya uchaguzi, polisi, Takukuru, uhamiaji na TRA watubu kwa kukubali kutumiwa wakati wa uchaguzi kuvuruga uchaguzi kwa kuwaandama na kuwakamata wagombea wasiotakiwa na CCM hata ndani ya CCM yenyewe..

Tume wanasema wakala wa .mgombea atapewa nakala ya matokeo kama zipo karatasi za kutosha lakini sasa Tume ya kenya imeonyesha kuwa nakala inaweza pigwa picha (scanned) hivyo hakuna kisingizio cha kuwanyima mawakala ushahidi wa,matokeo.

Kikwete asiishie kusifia tu tume ya kenya bali akirudi hapa aitishe press conference na avikosoe vikali vyombo vya serikali hapa Tanzania hasa tume ya ucheguzi kwa kuvuruga uchaguzi.
 
Huyu mzee ni mnafiki tu, madudu ambayo huwa anafanya na CCM wenzake hayaoni?
 
Wakati Police wa Kenya wanalinda usalama wakati wa upigaji kura na kura zenyewe, Police Tanzania wanahusika kubeba kura kwenye Viroba na kuingiza kwenye mfumo wa upigaji kura. Disgusting indeed
 
Mwanaccm asifie demokrasia ! haya ni maajabu !
Kwa mawazo yangu, ni kwamba anajutia kutoyafanya haya wakati alipokuwa na Uwezo wa Kuyafanya. Hata mtangulizi wake baada ya kugeuka nyuma aliona kuwa alikosea saana na kutamani mambo kama haya yafanyike na huku. FEDHEHA KUBWA MNO!!!!!
 
Kwa ubora wa uchaguzi wa kenya ni mtu asiye na akili anayeweza kubeza.
 
Wakati Police wa Kenya wanalinda usalama wakati wa upigaji kura na kura zenyewe, Police Tanzania wanahusika kubeba kura kwenye Viroba na kuingiza kwenye mfumo wa upigaji kura. Disgusting indeed
Na huhusika kuzuia mawakala wa vyama kuingia vituoni na wengine kuondoka na nyalaka za uchaguzi
 
Tungoje mwisho ndio tuseme
Hata mambo yaende vibaya kwa sasa hiyo haibadili ukweli kuwa uchaguzi umefanyika free, fair and transparent. Off course something may still go wrong hasa kama IEBC watachelewa kutoa matokeo ..... Lakini kwenye Parliament, Senate na Magavana hali ni shwari.
 
Huko hakuna shida kwa inchi yeyote
Tatizo ni upresident tu
 
Kwa kweli kikwete amedhihirisha hana aibu. Alikuwa rais, amesimamia mara kadhaa kuvuruga chaguzi, alivuruga bunge la katiba ambalo lingezaa utawala wa sheria nchini mwake. Leo anasimama kusifia demokrasia kwa jirani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…