Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Asante kwa ufafanuzi mkuu.Hajawahi kuwa ticha Sara. Alikuwa investigation officer Time ya haki za binadamu then akachaguliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne . Awamu hii akapata ukuu wa wilaya na alianzia mbulu then Kigamboni. Hajawahi kuwa ticha.
Daktari wa Kikwete ni Prof Mohammad Janab na Dr Wakazi.
Katupunguzia kelele japo katoa laki nane nane kwa baadhi ya wajumbe na pikipiki bado kaangukia pua.......Mshindi wa Taifa!!!!!!!!!!!!🙄🙄🙄🙄
Aaaaaiiiissseeeeee! Huyu jamaaa anatakiwa atangulie tu mbele za haki ili hili nalo lipite na makando kando mengine yapite. Yule shehe mpenda ubwabwa na mialiko nae kakataa kuji associate nae akidai amelikoroga mwenyewe.Katupunguzia kelele japo katoa laki nane nane kwa baadhi ya wajumbe na pikipiki bado kaangukia pua.......
Unajua kiswahili.??? Soma vizuri hiyo sentensi..
Kazeekahuku mkewe ndo kumekucha yupo busy na siasaHuyu mzee kazeeka
Ofisa Mwandamizi Mambo Nje na katika Balozi mbalimbali za Tanzania wakati JK akiwa Waziri wa Mambo ya Nje na baadaye RaisSorry
Nauliza tu, hivi huyu mzee Aliyefariki alikuwa na cheo gani serikalini
Unamzungumzia yule bonge mweusi mwenye vimacho vidogo? Ni mjukuu wa Dr mzena?Ni Mjukuu wa Mkurugenzi wa kwanza wa Usalama ambaye jina lake ni hospitali ya kule ndani Makumbusho
Wewe huyo Dr Ndugullile amemaliza MD akaunganisha Mmed Microbiology,ni mtu w Maabara anamtibia wapi JK.
Hujui alafu unajifanya unajua. Dr Ndugullile(MD 1997, Mmed Microbiology 2001).