Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

Hajawahi kuwa ticha Sara. Alikuwa investigation officer Time ya haki za binadamu then akachaguliwa mbunge viti maalumu awamu ya nne . Awamu hii akapata ukuu wa wilaya na alianzia mbulu then Kigamboni. Hajawahi kuwa ticha.
Asante kwa ufafanuzi mkuu.
 
Katupunguzia kelele japo katoa laki nane nane kwa baadhi ya wajumbe na pikipiki bado kaangukia pua.......
Aaaaaiiiissseeeeee! Huyu jamaaa anatakiwa atangulie tu mbele za haki ili hili nalo lipite na makando kando mengine yapite. Yule shehe mpenda ubwabwa na mialiko nae kakataa kuji associate nae akidai amelikoroga mwenyewe.
 
JK mzee wa kushinda hewani tunakumiss babaa.ulikuwa huna hiyana tunajilia maisha bora liende.
 
itoshe sasa kusema kuwa Faustine hanyoi kipara kwa bahati mbaya.
 
Unamzungu
Ni Mjukuu wa Mkurugenzi wa kwanza wa Usalama ambaye jina lake ni hospitali ya kule ndani Makumbusho
Unamzungumzia yule bonge mweusi mwenye vimacho vidogo? Ni mjukuu wa Dr mzena?
 
Mkuu tunaongelea elimu au Ndungulile kuwahi kuwa daktari wa Kikwete.???
Wewe huyo Dr Ndugullile amemaliza MD akaunganisha Mmed Microbiology,ni mtu w Maabara anamtibia wapi JK.

Hujui alafu unajifanya unajua. Dr Ndugullile(MD 1997, Mmed Microbiology 2001).
 
Back
Top Bottom