Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Unauhakika hutaanza wewe?Siku JK akitangulia mbele ya haki hata niwe nchi gani nitahakikisha nahudhuria safari yake ya ya mwisho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unauhakika hutaanza wewe?Siku JK akitangulia mbele ya haki hata niwe nchi gani nitahakikisha nahudhuria safari yake ya ya mwisho.
DC mjinga mmoja hivi huwa anaropoka utopolo tuDC wa Kigambonj huyo.
Mkuu tunaongelea elimu au Ndungulile kuwahi kuwa daktari wa Kikwete.???
Unamjua SALIMA vizuri wewe! Yule huwa ni final say akitaka lake mzee wetu hawezi kupinga. Its not Mstaafu’s fault, its her’s.Muulize kuwa mkewe kakosa nini Hadi anahangaika na siasa?
JK mutu ya watu!Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.
Ndugu Dkt. Ndugulile akitoa shukrani kwa watu wote kuhudhuria na kutoa salamu za pole na rambirambi kwa msiba uliowapata kuondokewa na Baba yao kipenzi marehemu Mzee Gabriel Ndugulile.
Pia ametoa shukrani kwa niaba ya familia kwa Mhe.Rais JP.Magufuli kuwapatia ndege moja ya serikali kasafiria kuelekea Mkoani Tabora kwa mazishi.
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe.Sarah Msafiri akitoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu Gabriel Ndugulile kwa niaba ya Serikali nzima ya Manispaa ya Kigamboni.
Mhe. Faustine Ndugulile Mbunge wa Jimbo la Kigamboni alifiwa na Baba Mzazi Gabriel S. Ndugulile Jumamos 18.07.2020 Asubuhi. Msiba upo Nyumbani Kwake Ferry, Kigamboni, Dar Es Salaam
ASANTE JK KWA KUTUWAKILISHA WATANZANIA. HUO NI MSIBA MKUBWA SANA! AMEFIWA MBUNGE WA TANZANIA, MBUNGE WA TAIFA LA TANZANIA. WATANZANIA BILA KUJALI ITIKADI ZETU ZA DINI NA SIASA TUMEFIWA!
Kweli mkuu,nimethibitisha hilo baadaya kuona yule mama amekomaa mpk amerudi kugombea ubunge huku mumewe kimyaaaa.Unamjua SALIMA vizuri wewe! Yule huwa ni final say akitaka lake mzee wetu hawezi kupinga. Its not Mstaafu’s fault, its her’s.
Alikuwa Mwana diplomas is nguli kabla ya kustaafu, google unaona maandiko yake mengiSorry
Nauliza tu, hivi huyu mzee Aliyefariki alikuwa na cheo gani serikalini
Hahahaaaaa, kwani wewe sio mtu wa kitengo?.Kama hamtuambii marehemu alikuwa nani basi sisi tutasema alikuwa mtu wa KITENGO.
Weeee kweliMagu kampa Dk Ndungulile ndege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alikuwa kishafariki. Alifariki kabla ya kura za maoni. Alifariki jumamosi 18/7/2020. Kura za maoni zilikuwa 21/7.Afadhali alipata habari za ushindi wa Dr Ndungulile kwenye kura za maoni kabla mauti hayajamsibu.
Magu kampa Dk Ndungulile ndege [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unamzungu
Unamzungumzia yule bonge mweusi mwenye vimacho vidogo? Ni mjukuu wa Dr mzena?