Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

Rais mstaafu, Jakaya Kikwete ahudhuria msiba wa Gabriel Ndugulile, Baba wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni

Mkuu tunaongelea elimu au Ndungulile kuwahi kuwa daktari wa Kikwete.???

Nimekuwekea hiyo ili kukuonesha kwamba huyo Dr Ndugullile hajawahi kutibu,lakini bado huelewi.

Tatizo nakuelewesha kitu ambacho hukijui ndiyo maana huelewi kwanini nimekuelezea hiyo elimu yake.

Wewe ni mwanachama wa chama cha mapopoma?
 
Poleni wafiwa.
Bwana ametoa, Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe milele
 
Poleni wafiwa.
Bwana ametoa, Bwana Ametwaa jina lake lihimidiwe milele
 
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Kikwete alipowasili eneo la msiba nyumbani kwa marehemu mzee Gabriel Ndugulile Ferry Kigamboni Jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kwa msiba huo.


Ndugu Dkt. Ndugulile akitoa shukrani kwa watu wote kuhudhuria na kutoa salamu za pole na rambirambi kwa msiba uliowapata kuondokewa na Baba yao kipenzi marehemu Mzee Gabriel Ndugulile.

Pia ametoa shukrani kwa niaba ya familia kwa Mhe.Rais JP.Magufuli kuwapatia ndege moja ya serikali kasafiria kuelekea Mkoani Tabora kwa mazishi.

Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Mhe.Sarah Msafiri akitoa salamu za pole kwa familia ya Marehemu Gabriel Ndugulile kwa niaba ya Serikali nzima ya Manispaa ya Kigamboni.

Mhe. Faustine Ndugulile Mbunge wa Jimbo la Kigamboni alifiwa na Baba Mzazi Gabriel S. Ndugulile Jumamos 18.07.2020 Asubuhi. Msiba upo Nyumbani Kwake Ferry, Kigamboni, Dar Es Salaam
JK mutu ya watu!
 
ASANTE JK KWA KUTUWAKILISHA WATANZANIA. HUO NI MSIBA MKUBWA SANA! AMEFIWA MBUNGE WA TANZANIA, MBUNGE WA TAIFA LA TANZANIA. WATANZANIA BILA KUJALI ITIKADI ZETU ZA DINI NA SIASA TUMEFIWA!

Kabisa, ni msiba mzito sana kwetu
 
Acha nionekane nina walakini. Kuhudhuria msibani kwa mkuu wa wilaya si jambo baya kama mtu binafsi, kuhudhuria kama mkuu wa wilaya na kutoa salamu za serikali si jambo linalofaa!! Kutoa ndege ya serikali kusafirisha marehemu na wanaokwenda Tabora ni matumizi mabaya ya fedha za umma. Je wataweza kufanya hivi kwa raia yeyote mwingine?? Baba wa mbunge!!? Kweli??!

Tunaanza kufanya mambo ambayo kwa ujumla wake yatatushinda na hatimaye kuonekana tunayafanya selectively huko mbele!!

Mzee apumzike lakini yaliyofanyika sio sahihi!!
 
Afadhali alipata habari za ushindi wa Dr Ndungulile kwenye kura za maoni kabla mauti hayajamsibu.
Alikuwa kishafariki. Alifariki kabla ya kura za maoni. Alifariki jumamosi 18/7/2020. Kura za maoni zilikuwa 21/7.
 
Unamzungu
Unamzungumzia yule bonge mweusi mwenye vimacho vidogo? Ni mjukuu wa Dr mzena?

Kumbe hii kazi nayo kunakurithishana. Nikifikiri ni urais na udaktari tu, ndio walio na tabia hiyo. Yale yale ya huyu ni mtoto wa nyumbani tutamuonya sio kama ile mitoto mengine haionyeki.
 
Back
Top Bottom