Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Rais mstaafu Jakaya Kikwete amehitimisha mapumziko yake kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti

Uishi sana JK! Nilipata mtaji enzi za huyu mzee mpaka leo natesa mjini!
 
Apumzike kweli, ajue thamani ya kuitwa mstaafu na kulipwa pension maana yake nini. Ni kuachia wengine watimize wajibu wao na sio kuongoza kupitia kivuli chake.
Ajiepushe na hasira za wananchi dhidi ya tawala zingine zinazofuata kwa kukaa pembeni.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom