W WhoWeBe JF-Expert Member Joined Dec 18, 2022 Posts 2,299 Reaction score 4,282 Dec 19, 2022 #121 Msanii said: Huyounayempigia uchawa pro max ndo binvwa wa majungu kuliko wanaume wote. Huna ujualo zaidi ya shibe na kufagilia. Click to expand... Basi sawa wewe unayejua!
Msanii said: Huyounayempigia uchawa pro max ndo binvwa wa majungu kuliko wanaume wote. Huna ujualo zaidi ya shibe na kufagilia. Click to expand... Basi sawa wewe unayejua!
Chivundu Platinum Member Joined Dec 17, 2012 Posts 7,781 Reaction score 6,966 Dec 19, 2022 #122 Uishi sana JK! Nilipata mtaji enzi za huyu mzee mpaka leo natesa mjini!
misasa JF-Expert Member Joined Feb 5, 2014 Posts 14,244 Reaction score 10,073 Dec 20, 2022 #123 Tour guide wetu yupo wapi?
S sambulugu JF-Expert Member Joined Jun 1, 2021 Posts 4,485 Reaction score 8,562 Dec 20, 2022 #124 zandrano said: Mungu azidi kumlinda na kumpa afya njema mtu wa watu JK. Click to expand... IPO siku yake lazima adanje tu! He is Not special!
zandrano said: Mungu azidi kumlinda na kumpa afya njema mtu wa watu JK. Click to expand... IPO siku yake lazima adanje tu! He is Not special!
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Dec 20, 2022 #125 Apumzike kweli, ajue thamani ya kuitwa mstaafu na kulipwa pension maana yake nini. Ni kuachia wengine watimize wajibu wao na sio kuongoza kupitia kivuli chake. Ajiepushe na hasira za wananchi dhidi ya tawala zingine zinazofuata kwa kukaa pembeni. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Apumzike kweli, ajue thamani ya kuitwa mstaafu na kulipwa pension maana yake nini. Ni kuachia wengine watimize wajibu wao na sio kuongoza kupitia kivuli chake. Ajiepushe na hasira za wananchi dhidi ya tawala zingine zinazofuata kwa kukaa pembeni. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
N ngaiwoye JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 2,150 Reaction score 3,225 Dec 20, 2022 #126 Tate Mkuu said: What is so special about Jakaya Kikwete! Click to expand... Kipekee ni Rais mwenye akili, exposure na mwenye roho nzuri kuwahi kutolea kwenye hii nchi. Kipenzi cha watanzania
Tate Mkuu said: What is so special about Jakaya Kikwete! Click to expand... Kipekee ni Rais mwenye akili, exposure na mwenye roho nzuri kuwahi kutolea kwenye hii nchi. Kipenzi cha watanzania
P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Dec 20, 2022 #127 Hivi hakuna habari nyingine za maana?