Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Hivi rwekaza hajatumbuliwa tu??
VC wa sasa muda wake unaisha tarehe 31/12/2017 na hawezi kuongezewa muda kisheria.
Hilo linajulikana na ndiyo utaratibu.
Hakuna VC anayeteuliwa bila consent ya Rais. Senate na council ni sehemu tu ya mchakato wa lazima ili kumpata VC lakini hawezi pata hiyo position bila consent ya Rais aliyepo madarakani.
VC aliyepo aliteuliwa wakati wa Kikwete
 
Hujui lolote kuhusu mchakato wa kumpata VC wa Chuo kikuu cha umma... kasome university charter pamoja na Universities Act No. 7 ya 2005. Kwa taarifa Mukandala muda wake umeisha Tarehe 04.12.2017.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…