Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
VC wa sasa muda wake unaisha tarehe 31/12/2017 na hawezi kuongezewa muda kisheria.
Hilo linajulikana na ndiyo utaratibu.
Hakuna VC anayeteuliwa bila consent ya Rais. Senate na council ni sehemu tu ya mchakato wa lazima ili kumpata VC lakini hawezi pata hiyo position bila consent ya Rais aliyepo madarakani.
VC aliyepo aliteuliwa wakati wa Kikwete
Hiyo press release imeelezea kila kitu.