Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

VC wa sasa muda wake unaisha tarehe 31/12/2017 na hawezi kuongezewa muda kisheria.
Hilo linajulikana na ndiyo utaratibu.
Hakuna VC anayeteuliwa bila consent ya Rais. Senate na council ni sehemu tu ya mchakato wa lazima ili kumpata VC lakini hawezi pata hiyo position bila consent ya Rais aliyepo madarakani.
VC aliyepo aliteuliwa wakati wa Kikwete

Hiyo press release imeelezea kila kitu.
 
Ndagha phijo
Jk mjanja sana ! Kamteuwa huyu ndaga pijo ili amsaidiye wa kukaye mwakalinga wa tba kuziba ule UFA kwenye media utaona joint force na watz wote tutaonekana akili kama Jeni muro
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kwa herufi kubwa!! Kweli kila mtu ana mawazo yake
 
VC wa sasa muda wake unaisha tarehe 31/12/2017 na hawezi kuongezewa muda kisheria.
Hilo linajulikana na ndiyo utaratibu.
Hakuna VC anayeteuliwa bila consent ya Rais. Senate na council ni sehemu tu ya mchakato wa lazima ili kumpata VC lakini hawezi pata hiyo position bila consent ya Rais aliyepo madarakani.
VC aliyepo aliteuliwa wakati wa Kikwete

Je, hii process ni kwa UDSM tu au University zote?
 
Back
Top Bottom