Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amteua Prof. William-Andey Anangisye kuwa Makamu Mkuu wa UDSM

Hii taarifa ya uteuzi imeshiba na kusheheni mambo kama usomi wake, alipotoka mteuliwa, mapito mpaka kupewa cheo hiki kipya.

Natamani taarifa zingine za uteuzi zizingatie uandishi wa taarifa kwa umma wa Prof. Rwekaza Mukandala.
 
Usishangae siku moja Magufuli akaja kutengua huo uteuzi ikiwa hakushirikishwa kikamilifu wakati wa kuteua.
 
VC wa publications 30 tu. Huyu ni "administrator" siyo "academician". VC inabidi awe "academician" aliyebobea katika scholarship.
 
The valediction and investiture of the outgoing and incoming Vice Chancellor will be held on Thursday 7th December 2017 at Nkrumah Hall starting from 13:30PM.
 
COET wametoka hols..dah maana dharau zingezidi
 
Duh Mfinanga kaikosa hiyo nafasi.. Yule Prof Mfinanga si mtu wa mchezo mchezo.
Mfinanga alikuwa Principal pale Duce , alivoondoka akaja Anangisye. Sasa Anangisye anakuwa boss wa Mfinanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…