ulaya12
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 834
- 907
Utakuta naye aliacha deni la pango kwa father house[emoji16]Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida
Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!
Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kumkaribisha wadhifa huo Mhesh John Pombe Magufuli