Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akutana na aliyekuwa baba mwenye nyumba aliyokuwa amepanga wakati akiishi mkoani Singida

Baba mwenye nyumba huyo anaenda kwa Jina la Mzee Andrew na mkazi wa Singida

Mzee Kikwete na familia yake waliamua kumtembelea Mzee huyo ili kumjuliana hali na kukumbushana ya miaka mingi!

Ikumbukwe kuwa Mhesh Kikwete pia ni Mwenyekiti Mstaafu Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kabla ya kumkaribisha wadhifa huo Mhesh John Pombe Magufuli

Utakuta naye aliacha deni la pango kwa father house[emoji16]
 
Cha dingi ako niko nakipiga kazi hapa ila kinatoa tope la hatari,ila nakikausha kibingwa.
Dingi yangu ni babu yako mzaa mamayako bwege wewe AMKA,lete mafuta tuliyokutuma unachelewa tutatumia mawese sasa hivi
 
Dingi yangu ni babu yako mzaa mamayako bwege wewe AMKA,lete mafuta tuliyokutuma unachelewa tutatumia mawese sasa hivi
Niko natumia makohozi kumtifua tope hapa,mafuta hayana elasticity ya kutosha.
 
Dingi yangu ni babu yako mzaa mamayako bwege wewe AMKA,lete mafuta tuliyokutuma unachelewa tutatumia mawese sasa hivi
Nadhani mafuta ya taa yatamfaa sana dingi ako maana kohozi linazingua kiaina,ila ana uno huyo sio mchezo.
 
Back
Top Bottom