Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

Mzee wetu simsikii wala ha onekana!!!

Nimeuliza tu, Hata uzi ukifitwa nimezoea
Huyo wala usitegemee kama atatoa neno. Inawezekana naye ni muhusika aua anaogopa ugali wa Mkewe na Mwanae asiuweke rehani ....!! Siku akiibuka, nistue!!
 
Mwanzoni nilidhani kikwete angejitokeza kukemea!
Nilipokumbuka historia yake nikajua hawezi kubisa kujitokeza!
Baadae imekuja kujulikana kitu ambacho kilikuwa nyuma ya "pazia!"
Sijui kwanini hawa watu ambao wanalishwa na kupewa kila kitu na walipa kodi wa Tz ambao ni maskini wa kutupa bado wanahangaika kuuza mali zetu.
 
Akiongea mnasema anaendesha nchi kutokea Msoga.,akinyamaza mnauliza mbona hasemi lolote ..
Walimwengu Hasa hawa wakuitwa Wana wa Adam ni wanafki mnoo,,,kama hutaki kuwa disappointed kwenye maisha,,,usiweke wala usitegemee sana,,matarajio makubwa kutoka kwa watu!!!
 
Hali sioooo
 

Attachments

  • 072A76B3-23B1-4ABD-8A89-8C35E6FA3440.jpeg
    137 KB · Views: 2
  • 4906C802-2823-49A7-8013-1D9F90CE49A2.jpeg
    136 KB · Views: 3
Mzee Butiku ameanza kujitokeza wengine waje tafadhali
 

Attachments

  • IMG_1035.MP4
    13.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…