Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete yuko wapi?

Mwanzoni nilidhani kikwete angejitokeza kukemea!
Nilipokumbuka historia yake nikajua hawezi kubisa kujitokeza!
Baadae imekuja kujulikana kitu ambacho kilikuwa nyuma ya "pazia!"
Sijui kwanini hawa watu ambao wanalishwa na kupewa kila kitu na walipa kodi wa Tz ambao ni maskini wa kutupa bado wanahangaika kuuza mali zetu.
 
Akiongea mnasema anaendesha nchi kutokea Msoga.,akinyamaza mnauliza mbona hasemi lolote ..
Walimwengu Hasa hawa wakuitwa Wana wa Adam ni wanafki mnoo,,,kama hutaki kuwa disappointed kwenye maisha,,,usiweke wala usitegemee sana,,matarajio makubwa kutoka kwa watu!!!
 
Hali sioooo
 

Attachments

  • 072A76B3-23B1-4ABD-8A89-8C35E6FA3440.jpeg
    072A76B3-23B1-4ABD-8A89-8C35E6FA3440.jpeg
    137 KB · Views: 2
  • 4906C802-2823-49A7-8013-1D9F90CE49A2.jpeg
    4906C802-2823-49A7-8013-1D9F90CE49A2.jpeg
    136 KB · Views: 3
Mzee Butiku ameanza kujitokeza wengine waje tafadhali
 

Attachments

  • IMG_1035.MP4
    13.1 MB
Back
Top Bottom