Born in townView attachment 2315206View attachment 2315207View attachment 2315208View attachment 2315209
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022
View attachment 2315213View attachment 2315214View attachment 2315215View attachment 2315216
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mulatu Teshome, Rais Mstaafu wa Ethiopia na Kiongozi wa Timu ya Mamlaka ya Kiserikali kuhusu Maendeleo (IGAD) ya Uangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya.
Kamwe hana majibu, amekaririshwa na kufuata mkumbo unaochochewa na itikadi basi!Kakupiga nini?
Karma !!SISYPHUS the King of Corinth, was once dubbed a smartest man in all of Greece.
He cheated the god of death Thanatos, and made fool of the gods of Olympus..
But like any other greedy ruler before him, he eventually ran out of tricks...
NB: Even our Sisyphus will run-out of tricks.......
in the battlefield we measure the number of casualty there are only two sides of the coin win (survival.)or lose (death) and mastermind always make the last 😂Akili kubwa ya kuua watu , angemuacha apambane nae
Ndioooooomastermind the akili kubwa uishi miaka mingi Zaid
aisee ukiwa na roho nzuri hauzeeki na Wala haufi mapema, Kikwete bado yupo fit kabisaaView attachment 2315206View attachment 2315207View attachment 2315208View attachment 2315209
Mheshimiwa Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Kiongozi wa Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Fred Matiang’i, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kenya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Kenya tarehe 9 Agosti 2022
View attachment 2315213View attachment 2315214View attachment 2315215View attachment 2315216
Mheshimiwa Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete akiwa Kiongozi ya Timu ya Uangalizi ya Uchaguzi wa Kenya, ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Mulatu Teshome, Rais Mstaafu wa Ethiopia na Kiongozi wa Timu ya Mamlaka ya Kiserikali kuhusu Maendeleo (IGAD) ya Uangalizi wa Uchaguzi nchini Kenya.
mpigaji kazikwa hukoMpigaji nae amepata dili la kusimamia uchaguzi hakika Africa ni majanga matupu
Yaani km kweli yy ndo alifanya hivyo, basi hiyo ndo akili kubwaAkili kubwa ya kuua watu , angemuacha apambane nae
Alikupiga wapi yakheee?Mpigaji nae amepata dili la kusimamia uchaguzi hakika Africa ni majanga matupu
Kamwe hana majibu, amekaririshwa na kufuata mkumbo unaochochewa na itikadi basi!
ndo ashakuwa kiongozi na mda wake ushapita haji tena kuomba kuraNyerere alisemaga kama mnapenda sura ya Kikwete kanywe nae chai. Sisi hatufai. Maneno ya Nyerere hayo.